Habari wanaJF,
Hasa wale mliosoma Usagara
Karibun tujikumbushe mambo mawili matau tuliyoyapitia
nimewamiss................ticha kisinza,seth,na wengine wengi
nimemiss ile system ya self service kwene msosi kwa a levels
nimekaaaaaa sana park hostel room no m9 chumba pekee kilichokuwa na cable ya kuchajia simu
nimewamiss watoto wa euckenford.............dah nakumbuka nilikuwa na mtoto wa diploma pale.......watoto wa alkher walikuwa wanatuchungulia saana.dah!!!!!!!
hivi issue boy bado anapiga pindi pale.................
karibun wadau tuijkumbushe....old is gold