Si kweli.Tuanze na utaratibu wa Percels: Unapopeleka percel DHL, EXPRESS MAIL etc lazima useme kilichopo ili kikipotea waweze kujua namna ya kukulipa.
Unapotaka kukodisha container? Vipi ukiwa na container lako nyumbani kwako? Una uwezo wa ku smuggle matani na matani ya pembe za ndovu utashindwa ku procure kikotena ambacho Mchaga anacho anauzia duka la dawa za mbu?Utaratibu wa Meli: unapotaka kukodisha container lazima useme unakwenda kupakia mzigo wapi ni nini kitakachokuwepo
Kwa hiyo kama hawana wasiwasi basi hawaji hao usalama wala hakuna cha scanning kitakachofanyika, sio? Manake wana scan wanapokuwa na wasiwasi! Watu wengine bana....hahahaaa....Wakati wa ufungaji wa container government agencies including usalama wanakuwepo kuhakiki ikiwa ni pamoja na kufanya container scanning pale wanapokua na wasiwasi kilichopo ndani ya container ni material ambayo hairuhusiwi kusafirishwa katika meli za kawaida na bila kibali maalum. Mfano explosives, vifaa vya kijeshi n.k
Si kweli.
Sio kila kinachotumwa kikipotea kinalipwa, inategemea kama ulinunua insurance na uli declare value na wana policy hiyo ya kulipa. Kwa hiyo hawawezi kukulazimisha kusema kilichomo kwa sababu tu eti "ili kikipotea tukulipe." Mimi sitaki mnilipe, kikipotea kimepotea, hapo vipi bado mnanilazimisha niseme nimebeba nini?
Unapotaka kukodisha container? Vipi ukiwa na container lako nyumbani kwako? Una uwezo wa ku smuggle matani na matani ya pembe za ndovu utashindwa ku procure kikotena ambacho Mchaga anacho anauzia duka la dawa za mbu?
"Lazima useme" haina maana kwamba utasema ukweli! Nani atasema "Jamani nimebeba meno ya tembo"!
Kwa hiyo kama hawana wasiwasi basi hawaji hao usalama wala hakuna cha scanning kitakachofanyika, sio? Manake wana scan wanapokuwa na wasiwasi! Watu wengine bana....hahahaaa....
"Wakati wa ufungaji wa container government agencies wanakuwepo..." Kwa hiyo ukifunga container la kahawa kiwandani kwako hao Usalama watajua Bwana Kichakoro leo anafunga container twende tuka show up kwake ku scan makontena yake?! Scanning? Bongo... what? Nini Bongo, hata United Kingdom of Great Britain hakuna kitu kama hicho!
Hueleweki, na unapoeleweka huna ukweli, to put it very mildly.
Sawa nakunywa chibuku, lakini nimekataa kudanganywa na ambae hanywi chibuku.Hoji kama msomi na sio wanywa chibuku.
International business zina taratibu zake sio unafikiri ni sawa na kusafirisha mahindi kutoka nyumbani kwako kupeleka kariakoo.
Sio kweli kwamba ukiorodhesha ambacho si kweli basi "inakula kwako bandarini," makontena ya miharadati na mapembe ya ndovu na ma weapons na ma cocaine yasingekuwa yanakatisha bandarini kwa sababu kwenye bill of lading hakuna anaeulizwa "humu kwenye container kuna nini?... akajibu "pembe za ndovu"!...kwenye BILL OF LADING naorodhesha whats inside nikiorodhesha tofauti na vilivyopo inakula kwako bandarini....hakuna mwanausalama wala mjumbe.....container halifunguliwi hadi BONGO infront of consignee mimi au niliemuandika kwenye BL.....i guess wanalifanyia scanning bandarini kabla ya kupakia melini....
Sio kweli kwamba ukiorodhesha ambacho si kweli basi "inakula kwako bandarini," makontena ya miharadati na mapembe ya ndovu na ma weapons na ma cocaine yasingekuwa yanakatisha bandarini kwa sababu kwenye bill of lading hakuna anaeulizwa "humu kwenye container kuna nini?... akajibu "pembe za ndovu"!
Halafu unaongelea shipping ya UK kuja bongo, ambayo ni tofauti na shipping ya Bongo kupeleka mizigo nje ya Bongo, utachanganya vitu. Kinana alikuwa anasafirisha meno ya tembo kwenda nje ya Tanzania.
Okay sawa, sijui bill of lading maana yake nini, manake ni kitu kikuuubwa na complicated kweli kweli!u must be joking.......get a 40 feet container with 2 cars and in ur BL declare there is 1 car then u will know what i mean.....
i guess u dont know whay BILL OF LADING IS.......