Usafiri wa Dar - Mtwara umenikosha roho

Haha Mwl Jotta(RIP) aliumwaga uti wa mgongo nadhani ndo ulimondoa duniani...mama mwangata mpaka leo ndo mkuu pale, Joji Mtawanga ni Operator wa DOZER, anawajibika...ingawa yupo sana kitaa/juu ya mawe bt anapambana kibishi.
 
Hahahaaa, hivi Ishumi yupo wapi? Nakumbuka kuna mtoto wa Lipwelele akiitwa Ishumi (kama sijakosea)...No ni Ishumi na Kabyee, yah hawa pia ni ndugu, mabrazamen wa enzi hizo wakiendesha magari...dah tukiwaona wa mbele kinoma!! Hahahaa, kwa Mwakyoma karibu na kwa Bambo pale juu, kulikuwa na jogoo flani ukienda kuokota embe na ukaingia anga zake anakufurumusha mbaya@!! yule Jogoo(kuku) alikuwa balaa sana, mimbwa ya pale ilikuwa nouma!!
 
Mwl. Jotta alifariki mwaka 1999 Mwalimu Mwangata bado yupo hadi leo ni Mwl. Mkuu mwl. Mrekoni amefariki mwaka huu nayeye. Walimu wengine wengi wamehama pale
Nahhisi we ni classmate angu hakiya Mungu...!! Otherwise hatujapishana zaidi ya miaka tuwili..LOL
 
Mwl. Jotta alifariki mwaka 1999 Mwalimu Mwangata bado yupo hadi leo ni Mwl. Mkuu mwl. Mrekoni amefariki mwaka huu nayeye. Walimu wengine wengi wamehama pale
Chimpepo yupo, Mwl Fundi yupo, Mwl Munga, Mwl Mandanda...nachiputa sina uhakika sana!! Mwl Mwingira ashastaafu..vp huyu unamfahamu?
CC Madame B

 
Last edited by a moderator:

Ishumi alikuwa maarufu sana na zamani Lipwelele si alikuwa anakaa pale opposite na kwa Mbelenje kabla hajahamia Shangani.. na watoto wake karibia wote walisomaga Ligula
 
Yaani leo nimecheka nwenyewe hapa mpaka wananishangaa sure Mtwara nikisikia sikuiz mara hiki mara kile nikikumbuka hizi stori nacheka sana.
Maana maeneo mengi enzi hizo kulikuwa porini kabisa kule shangani ndio kabisaa vichaka tupu.

mnaenjoy sana leo mi nlikua kazini kule!!
nilikua nakaa maeneo ya half london
 
Ngerezani(SUBANGE) aliushangaza UMMA baaada ya kufaulu std 7 akachaguliwa sabasaba sec...dah karibu Mtwara nzima walijua hili...unamkumbuka mtoto wa Sanga yule dem nzuri kupita wote...alipigwa fimbo na Nachiputa akaenda kumwambia babake...(Usalama wa Taifa) likaja karandinga kumchukua mzobemzobe akapelekwa kunyea ndoo sero pale centarl polisi....
Alivyorudi akawa mkali mara mbili yake...dah alitubutua sana na kikono chake kile
 
Hahahahahahahaha..hapana chezeiya huu uzi aisee!!hadi Madame B kasanuka kijogoo kilichomkata utepe!!!
"Side huyo,Side huyo,Mnyamweeezi!!"...hahahahahahaha acha muvi liendelee.
Home Sweet Home!

kunoga mweee kujikuta nasemaaaaaaaaa weeeee..Ila sio kweli....
 
Last edited by a moderator:

Nahigi kitalywepo tuuu
 
Chimpepo yupo, Mwl Fundi yupo, Mwl Munga, Mwl Mandanda...nachiputa sina uhakika sana!! Mwl Mwingira ashastaafu..vp huyu unamfahamu?
CC Madame B


Mwl. Manento Jamanii si ndio kafiwa na babake yule muigizaji wa kaole Mzee Manento R.I.P. Alihama Ligula na kuhamia Shule ya msingi Mwenge Iko Tabora.. sijui bado yupo huko au yuko mjini.. Nampenda sana huyu mwalimu alitufundisha English shule na tuition zake kila jumamosi pale Pentecoste dah
 
Last edited by a moderator:
MAYELE alishafariki nadhani miaka ya 2000, ujue kuna uzushi ulitokeaga pale...agh anyway ngoja nimute tu(RIP OUR TEACHER)
 
Mwalimu dodi nae ni marehemu kafa kwa ngoma,mayele naskia alirudi kwao nachingwea huko full kunywa matapu tapu akawa kama amedata hivi ila sijui km ni marehemu sasa!!
DODI sijasikia kama kafa manake alijiendeleza akawa mkufunzi pale TTC, labda manake sikuhizi mambo ni mengi sana
 
Nizar ni product ya LIGULA PRIMARY SCH..Ni wa Mwangata yule dogo!!

Ligula imetoa wengi tu D. Knob kapitia pale. Marehemu Rehema Mwakangale pia kapitia pale.. Mh Sugu naye kapitia pale St 1 - 4 ndio akaenda Mbeya then akarudi form three pale Sabasaba na kumalizia form four pia palepale.
 
Alaaah kumbe side ndo alitoa bikra...Uwiiiiiiii, mi hoi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…