simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,779
- 9,702
$400 milioni wizi wa ESCROW pungufu kidogo tu kugharamia mradi wa reli kama huu wa Ethiopia.
Tanzania tunashindwa uamuzi
Tanzania tunashindwa uamuzi
Nchi zozote zilizopitiwa na uswahili maendeleo yake uwa ni duni sana,kwa kuwa kwenye uswahili hakuna uchapakazi, hakuna elimu( ipo ya dini tu), hakua kuambiana ukweli, kuna unafiki mwingi sana hasa unasababishwa na wazee wanaojiita wa dar au "wenye chama chao, Kwa hiyo kuwe na dokta au profesa hali ni ile ile maadamu ni mswahili basi, ethiopia viongozi hawauzi ardhi ya wananchi lakini hapa bongo wapo viongozi wa namna hiyo, kule ethiopia uzalendo umewekwa mbele tofauti na bongo kwani mbongo yupo tayari kushirikiana na wachini kwa madhara ya mbongo mwenzake, hivyo ndugu yangu bila kuondoa uswahili tutabaki nyuma hivi. USWAHILI NI CCM.
Mpuuzi, huna akili. Acha kutukana lugha na utamaduni. Wewe umeendelea?Nchi zozote zilizopitiwa na uswahili maendeleo yake uwa ni duni sana,kwa kuwa kwenye uswahili hakuna uchapakazi, hakuna elimu( ipo ya dini tu), hakua kuambiana ukweli, kuna unafiki mwingi sana hasa unasababishwa na wazee wanaojiita wa dar au "wenye chama chao,
Kwa hiyo kuwe na dokta au profesa hali ni ile ile maadamu ni mswahili basi, ethiopia viongozi hawauzi ardhi ya wananchi lakini hapa bongo wapo viongozi wa namna hiyo,
kule ethiopia uzalendo umewekwa mbele tofauti na bongo kwani mbongo yupo tayari kushirikiana na wachini kwa madhara ya mbongo mwenzake, hivyo ndugu yangu bila kuondoa uswahili tutabaki nyuma hivi. USWAHILI NI CCM.
Huo ndio ukweli, hapa kwetu uswahili umezidi sana.Nchi zozote zilizopitiwa na uswahili maendeleo yake uwa ni duni sana,kwa kuwa kwenye uswahili hakuna uchapakazi, hakuna elimu( ipo ya dini tu), hakua kuambiana ukweli, kuna unafiki mwingi sana hasa unasababishwa na wazee wanaojiita wa dar au "wenye chama chao,
Kwa hiyo kuwe na dokta au profesa hali ni ile ile maadamu ni mswahili basi, ethiopia viongozi hawauzi ardhi ya wananchi lakini hapa bongo wapo viongozi wa namna hiyo,
kule ethiopia uzalendo umewekwa mbele tofauti na bongo kwani mbongo yupo tayari kushirikiana na wachini kwa madhara ya mbongo mwenzake, hivyo ndugu yangu bila kuondoa uswahili tutabaki nyuma hivi. USWAHILI NI CCM.
uko sahihi mkuuNchi zozote zilizopitiwa na uswahili maendeleo yake uwa ni duni sana,kwa kuwa kwenye uswahili hakuna uchapakazi, hakuna elimu( ipo ya dini tu), hakua kuambiana ukweli, kuna unafiki mwingi sana hasa unasababishwa na wazee wanaojiita wa dar au "wenye chama chao,