Panda Asante Rabi nauli tshs 25,000 saa tisa kasoro uko Shinyanga! Full charger, halisimami ovyo njiani na hutagonganishiwa siti ulipokata ndo utakapo kaa. Tena unashushiwa kwenye Stand zao hapo Ibinzamata karibu na Serengeti bar! Sio kule Manyoni wanaposhushia mabasi mengine