ikhufa Member Joined Apr 2, 2017 Posts 33 Reaction score 21 Apr 2, 2019 #1 Amani iwe nanyi... jmn naomba kuuliza ni kitambo kidogo sijasafir kwenda Arusha. kwa wenye kutumia usafir wa mabasi ni magar gani mazur kuelekea huko kwa sasa? Sent using Jamii Forums mobile app
Amani iwe nanyi... jmn naomba kuuliza ni kitambo kidogo sijasafir kwenda Arusha. kwa wenye kutumia usafir wa mabasi ni magar gani mazur kuelekea huko kwa sasa? Sent using Jamii Forums mobile app
Kyawanjubu JF-Expert Member Joined May 13, 2017 Posts 2,453 Reaction score 2,205 Apr 2, 2019 #2 Kwani unakimbizwa? Usafiri Wa kutoka wapi Sent using Jamii Forums mobile app
Ngorunde Platinum Member Joined Nov 17, 2006 Posts 5,499 Reaction score 11,595 Apr 2, 2019 #3 Kyawanjubu said: Kwani unakimbizwa? Usafiri Wa kutoka wapi Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Msamehe bure! Ila huo uandishi kama wa vijana wa Dar! Huwa wanadhani Jf iko Dar, mwisho Chalinze
Kyawanjubu said: Kwani unakimbizwa? Usafiri Wa kutoka wapi Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Msamehe bure! Ila huo uandishi kama wa vijana wa Dar! Huwa wanadhani Jf iko Dar, mwisho Chalinze