Northrop Grumman wale waliotengeneza B-2 spirit bomber.Hiyo imetengenezwa na Boeing au Lockheed Martin.......
Nakubali sana mnyamwezi anatisha.....Northrop Grumman wale waliotengeneza B-2 spirit bomber.
Hivi warusi si walikua na project ya PAK DA bomber imeishia wapi au ilikua mkwara tu kama kawaida yaoWarusi mpaka leo stealth bomber yao Sukhoi S-70 Okhotnik haijawa deployed. Ingawa itakuwa ni unmanned ila ndio inatakiwa kuwa stealth bomber ya kwanza
Hasa 'censor' zao zilishindwa tu kugundua F-35 pale Iran mpaka Israel -Marekani wakaingia kwenye anga la Iran na kutoka Kama kwao........Warusi mpaka leo stealth bomber yao Sukhoi S-70 Okhotnik haijawa deployed. Ingawa itakuwa ni unmanned ila ndio inatakiwa kuwa stealth bomber ya kwanza
Shida tungetaka tuone technology ya ukweli unafiki wa vikwazo usingekuwepo lakini kinachotokea sasa mmoja anaplay double agent huku mshindani huku refariiHasa 'censor' zao zilishindwa tu kugundua F-35 pale Iran mpaka Israel -Marekani wakaingia kwenye anga la Iran na kutoka Kama kwao........
Mnyamwezi ni noma sana.......we unafikiri Iran hasingekuwa na vikwazo wangeshindana na USA kiteknolojia....Shida tungetaka tuone technology ya ukweli unafiki wa vikwazo usingekuwepo lakini kinachotokea sasa mmoja anaplay double agent huku mshindani huku refarii
Iweke vizuri sijaelewa.Mungu aibariki sana Marekani otherwise dunia yote tungeshakuwa dini moja. Tungelazimika kuabudu mungu yule.
Unakumbukumbu mkuu. PAK DA mara ya mwisho kuisikia inatajwa nao si chini ya miaka minne iliyopita. Tangu wameanza kuitaja hata hii B-21 Raider Wamarekani walikuwa hawajaisema.Hivi warusi si walikua na project ya PAK DA bomber imeishia wapi au ilikua mkwara tu kama kawaida yao