Mi hapo sijaona kibaya FBI/CIA walichofanya. Kama waliona hizo identity za manazi ndo well trained to carry other spying task, no problem.
Lakini Russian intelligency yao iko juu sana sidhani kama kuna nchi yeyote ulaya inawafikia.
Kipimo chako ni kipi, cha kusema kwamba Urusi wako juu kuliko wengine? unaweza labda kufunguka kwa maana haya ni mambo ya siri ya Kila nchi sasa kuweza kujua kama Urusi wako juu kuliko wengine SIO Kazi rahisi ni lazima utakuwa na uelewa mkubwa ktk hili!
Mambo haya hayana kitu kama uelewa wa kawaida tu kama ulivyouita! Bali yanataka uwelewa wa hali ya juu ili uweze kuyajua si ajabu hata uwe labda insider wa KGB ama CIA au sijui ya Ujapani na Ujerumani ili uweze kujua vinginevyo inabaki kuwa porojo za Mitaani tu!Mkuu, siyo lazima niwe na uelewa mkubwa kuhusu hilo. ni uelewa wa kawaida tu.
System ya mawasiliano ndani ya Russia ni ya pekee kwa ajili ya russian country tu. Kama satelite na mifumo mingine ya Computer. Nchi nyingi za ulaya zina share kutokana na kwamba zimeunganishwa(EU). Pia KGB ya enzi za USSR ndo hiyo iliyopo sasa hivi pamoja na kuwa USSR ilisambaratika.
Ndo maana unakuta hata rais aliyekimbilia urusi wa Ukraine alikuwa ni KGB.
Pia Snowden, ambaye alikuwa kwenye rank ya juu ya CIA alikimbilia Russia akijua wao intelligencia yao ni ya juu na si rais ku intercept.
Mambo haya hayana kitu kama uelewa wa kawaida tu kama ulivyouita! Bali yanataka uwelewa wa hali ya juu ili uweze kuyajua si ajabu hata uwe labda insider wa KGB ama CIA au sijui ya Ujapani na Ujerumani ili uweze kujua vinginevyo inabaki kuwa porojo za Mitaani tu!
Unaweza kukuta hapa tunapiga porojo nakufikiri kwamba tunajua kumbe Urusi, Marekani Ulaya, Ujapani lao moja na Wanashirikiana kutawala Dunia, haya mambo kama wewe sio insider hauwezi kuyaelewa!
Good for you! Hizo kama ulivyosema mpaka uwemo humo. Hizo ni hisia zako. Keep on thinking like that.
Tatizo ni kwamba yote uliyoyaandika ni mambo ambayo yanatangazwa na vyombo vya Habari na kila mtu anasikiliza na anayajua, sasa hata hv vyombo vya Habari pia vinapika hizo Habari na kila habari inayotolewa imeshachujwa na kabla ya kumfikia mlengwa, na ndio maana nikakupa changamoto utoe sababu za kufikiri kwamba Urusi ni wazuri kuliko Ujapani ama Arjentina tu kwa mfano, wewe unasema sijui Snowden hizo habari za Snowden tunazijua tu kupitia hivi hivi vyombo vya habari ambavyo vinamilikiwa na na hao hao jamaa, hivyo huwezi kujua wana malengo gani, labda kila kitu uongo kuhusu Snowden, Je?
Mkuu, ndo maana nimekwambia let keep on thinking like that.
Kwa maana wewe unataka mtu aliyemo humo KGB akwambie ndo uamini. Hisia zako ni kwamba labda CIA, FBI, KGB na wengine ni wamoja wanataka kutawala dunia. Keep on thinking like that.
Siwezi kubadili hisia zako.
Natanguliza shukrani kama umenielewa.
Kwa mtindo huo inawezekana hata mungu hayupo, Muhamadi hakuwepo na yesu hakuwepo. Sababu yote ni ya kuambiwa hatujawahi kuwaona. si ndiyo? au?
So Snowden was one of the top dogs in CIA? HardlyPia Snowden, ambaye alikuwa kwenye rank ya juu ya CIA alikimbilia Russia akijua wao intelligencia yao ni ya juu na si rais ku intercept.