aliyeuliza sio kwamba anataka kujua. swali la kwanza huyu ni nani, sawa. la pili linalomtaja tayari kama rais wa Marekani linafuta la kwanza. La tatu kwamba ana foundation linaonesha wazi muuliza swali ana majibu yote.
Jibu langu, huyu ndo yule aliyekuwa anam-do Monica Lewinsky.