Mkuu Mzizi Mkavu, kwangu mimi binafsi haya mataifa ya nje yote hufanya vitu kwaajili ya maslahi yao. Kwa mtaji huo, naona ni afadhali wa-west kuliko Mchina. Wachina wanakwapua kila kitu na tukijabaki jangwa walee watakuwa wameshatimuaUkimuona M Marekani na muingereza wanamsaidia mtu ujuwe kuna Maslahi hapo ndio maana wamekuja eti kwa kisingizio cha kusaidia. La kama hakuna Maslahi hapo hawateza kutia mguu wao hao Wamarekani na waingereza wanafiki wakubwa tena Wezi sana .
Ukimuona M Marekani na muingereza wanamsaidia mtu ujuwe kuna Maslahi hapo ndio maana wamekuja eti kwa kisingizio cha kusaidia. La kama hakuna Maslahi hapo hawateza kutia mguu wao hao Wamarekani na waingereza wanafiki wakubwa tena Wezi sana .