US to give Ukraine long-range ATACMS Missiles

US anatafuta matatizo mengine sasa puttn ataigeuza majivu hii nchi maana kuna silaha ambazo hajafikiria kuzitumia
Putin ni kelele tu mkuu alisema ikishambuliwa russia atawasha nuclear sasa angali watu wanavyoshambulia hadi crimea, submarines za russia viwanja vya ndege na urusi juzi amefanya mazungumzo na Kim ni dalili tosha amefikishwa ukutani
 
Soon +255 nayo itapeleka Urusi garivita aina ya Nyumbu new model(boomproof)
 
Ni wazi sasa Ukraine wanataka kumaliza kazi yaani adui amerudi nyuma sana kutoka alikovamia sasa wanahitaji ile kitu ya mbali zaidi kufanya finishing mrusi wa mchongo arudi kwao
Sijui hii taarifa inapokewa vipi na askari wa Russia walio mstari mbele kwenye ardhi ya Ukraine.
 
Sijui hii taarifa inapokewa vipi na askari wa Russia walio mstari mbele kwenye ardhi ya Ukraine.
Tunasema askari walio katika ardhi ya ukraine ni wale walio mpakani ambao sasa watashughulikiwa ni advanced long range, Urusi walitega mabomu ya ardhini halafu wakaenda kukaa mbali sasa huko mbali waliko watapata majanga kwa kiwango kile kile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…