US successful tests new nuclear gravity bomb

Yeye akifanya majaribio ni sahihi lakini wakifanya wengine ni matatizo sasa kama hiyo nuclear yeye ndiyo aliyowahi kuitumia halafu anawaambia wenzake kuwa wanahatarisha usalama kweli
 
Umechambua vizuri sana. Amerika ya Trump asiyetabirika ni hatari kwa usalama wa dunia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…