Hizi technology zimetu-expose kabisa. Huwezi sema umejificha. Angalia wezi wanavyokamatwa siku hizi. Kinachofanyika baada ya kutokea wizi mkubwa au uhalifu wa hali ya juu, watalaamu wanachungulia minara yote ya simu ya jirani na tukio. Wanaangalia nani kaongea mida hiyo na kapiga siku wapi. Au hata kama hawajaongea, simu ikiwa hewani itaonekana mitaa hiyo, na lazima watakukamata. Mfano mzuri ni Wastegate, jamaa walionekana wanapiga simu, walipoaangaia minara wakakuta ni Somalia na Iganda. Lakini wale wataalamu sana. Number zote zilikuwa fake, hazina wenyewe. na Marekani imekamata watu wengi sana kwa njia ya simu. Mnakumbuka Pablo Escobar wa Medelin. Alikimbia kimbia sana, lakini siku alipojichanga kuongea na simu, likatumwa electronic bomb likafuata line yake kabla hajamaiza kuongea. Likammaliza hapo hapo. Osama ame-survive muda wote huu kwasababu ya kutumia simu za kizamani sana ambazo pia Israel wanazitumia sana kwenye military operation zao. Hizo hazinaswi na yoyote. Poaching inaweza malizwa hivyo hivyo. Serikai zetu hazitaki tu