US removes Turkey from F-35 fighter jet programme

Wapeleke iyo f-35 tujue nani mkweli kati ya s-400 na f-35.maana maneno mengi hatutaki,tunataka tumjue muongo nani na nani mkweli.
kama kweli f-35 haiyonekani kwenye rada basi tutapata ukweli na kama s-400 ina uwezo wa kuona mpaka f-35 na kuweza kuitungua basi napo ukweli utajulikana
 
F35 ilishatunguliwa kitambo kwenye anga la Syria na diffence System za kawaida tu, ndio maana skuizi wanatumia anga la Lebanon kushambulia, na wamewaomba Urusi isiwashe S-300 wakati wanapiga maeneo emty
 
Hao waliowaomba urusi asiwashe s 300 ni hawahawa israel mmbeberu kama marekani na urusi amekubali israel asiwashiwe s300 na atambe atakavyo eeh....iyo F35 ilitunguliwa mwaka gani tupe basi kaushahidi kidogo baba...
F35 ilishatunguliwa kitambo kwenye anga la Syria na diffence System za kawaida tu, ndio maana skuizi wanatumia anga la Lebanon kushambulia, na wamewaomba Urusi isiwashe S-300 wakati wanapiga maeneo emty
 
F35 ilishatunguliwa kitambo kwenye anga la Syria na diffence System za kawaida tu, ndio maana skuizi wanatumia anga la Lebanon kushambulia, na wamewaomba Urusi isiwashe S-300 wakati wanapiga maeneo emty
Weka picha.
 
Ulishaambiwa S-400 is not compatible with NATO air defense command and control systems..Halafu vile vile hawataki F-35 ikaribie izo S-400 kwa sababu ya security reasons,kwamba huenda Russia wakaweza kusoma mapungufu ya F-35 remotely kupitia izo S-400.Sasa bado huelewi unakomaa wapeleke tu,Waswahili bana..daah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…