Sasa tangu 1967 jamaa(the Assad family) wamekaa tu wanakula bata, that's why Jews wame-annex.Golan heights ni eneo la Syria lililotekwa na Israel wakati wa "vita ya siku sita" in 1967. Then in 1981, Israel wakadai officially kuwa ile ardhi ni ya kwao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona mchina alisha-annex Taiwan na Hongkong,haya mambo ni mwendelezo tu. Netanyahu anasema unapoanzisha uchokozi ili kumwangamiza mwenzako,akikucharaza na kupora ardhi yako,huna budi kukaa kimya. Uliyataka mwenyewe.Nimewaza kama wewe na nadhani wachache sana wanaweza kukuelewa: Lakini kule Crimea na Golan Heights kuna utaofauti kidogo. Warusi walivamia Crimea na kuvunja sheria za kimataifa lakini baadae wakaitisha kura ya ambayo asilimia 80% ya wananchi wa Crimea walikuali kujiunga na shirikisho la Urusi. Upande wa pili Golan Heights ilichukuliwa kimabavu na hakuna kura yoyote iliyopigwa kuwauliza wakazi wa pale kama wanataka kujiunga na Israeli.
NB: Ila yote yanafanyika hivi, huu ni mfano mbaya sana (A bad precedent) maana muda siyo mrefu mtasikia Uchina naye kavamia bahari ya Uchina Kusini (South China Sea) maana anasema asilimia 80% yote ilikuwa ni yake. Sasa sijui kama Marekani au Urusi wanaweza kumzuia kule Baraza la Ulinzi na Usalama la Umoja wa Mataifa.
Waarabu ni wanafiki sn,hawana umoja. Hao hao ndo wako busy kushirikiana na America na Israel.Huyu Mzee (Trump) huko mbeleni atasababisha mahusiano yake na waarabu kuwa tete na kuchochea vurugu mpya kwenye ulimwengu wa kiislamu.
Automatically ataonyesha kuwa upande wa syria ila kiuhalisia ni israel typically... hebu tusubiri tuone reaction ya Mrusi kwenye hili saga; atakuwa pamoja na Syria/Iran au Israel?
... Mrusi ni mnafiki sana. Kwa issues za Middle East publicly hujitanabahisha kuwa upande wa waarabu na Iran ila sirini ni Israel damu! Nahisi huenda hata baadhi ya siri za waarabu na waajemi Mrusi huvujisha kwa Israel.Automatically ataonyesha kuwa upande wa syria ila kiuhalisia ni israel typically
Mkuu Uchina hajawahi kufanya annexation ya Hong-Kong wala Taiwan kwasabu yale ni majimbo yake halali.Mbona mchina alisha-annex Taiwan na Hongkong,haya mambo ni mwendelezo tu. Netanyahu anasema unapoanzisha uchokozi ili kumwangamiza mwenzako,akikucharaza na kupora ardhi yako,huna budi kukaa kimya. Uliyataka mwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mchina kasababisha mpaka nchi zetu nyingi huku Africa kutoitambua Taiwan isipokuwa Swaziland japo Marekani anaihami Sana Taiwan kidiplomasia na kijeshi ila sina uhakika kama itatokea Taiwan ikarejea kwenye himaya ya China kama Hongkong iliporejeshwa China na Uingereza.Mkuu Uchina hajawahi kufanya annexation ya Hong-Kong wala Taiwan kwasabu yale ni majimbo yake halali.
Mchina kasababisha mpaka nchi zetu nyingi huku Africa kutoitambua Taiwan isipokuwa Swaziland japo Marekani anaihami Sana Taiwan kidiplomasia na kijeshi ila sina uhakika kama itatokea Taiwan ikarejea kwenye himaya ya China kama Hongkong iliporejeshwa China na Uingereza.
Mchina ka annex Taiwan ipi hiyo?Taiwan ni jipu la China na mchina anafahamu hilo.Mbona mchina alisha-annex Taiwan na Hongkong,haya mambo ni mwendelezo tu. Netanyahu anasema unapoanzisha uchokozi ili kumwangamiza mwenzako,akikucharaza na kupora ardhi yako,huna budi kukaa kimya. Uliyataka mwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Well said about TaiwanMchina kasababisha mpaka nchi zetu nyingi huku Africa kutoitambua Taiwan isipokuwa Swaziland japo Marekani anaihami Sana Taiwan kidiplomasia na kijeshi ila sina uhakika kama itatokea Taiwan ikarejea kwenye himaya ya China kama Hongkong iliporejeshwa China na Uingereza.
Umenikumbusha mwaka 2008 kabla ya kuanza kwa mashindano ya Olympics huko China ambayo yalitanguliwa na ghasia za kisiasa huko Tibet kudai uhuru kutoka China ambapo nchi za magharibi ziliyabebea bango yale maandamano mpaka wengine wakapendekeza waendeshe kampeni za kususia hiyo michuano lakini baadae ulivyoibuka mdororo wa kiuchumi mwaka 2008 kwa mabenki makubwa kufilisika na baadae Mama Clinton alipozuru China katikati ya 2009 alipendekeza kwanza changamoto za kiuchumi za dunia zitatuliwe kwanza ndipo hali ya Tibeti ijadiliwe baadae na mpaka leo hamna jipya tena.Mkuu ni suala la muda tu, maana kama tokea mwaka 1972 sera ya Marekani imekuwa ni One China Policy na hata Trump na jehuri yake ameshindwa kubadilisha anajua kabisa kwamba ipo siku Taiwani itarudi Uchina.
Uingereza miaka yote alikuwa anatambua Tibet kama eneo huru nje ya Uchina lakini mwaka 2008 alijiunga na wenzake wa Umoja wa Ulaya kutambua kama Tibet ni sehemu ya Uchina. Hii ilitokea baada ya Uingereza kutambua kwamba anahitaji sana masoko na pesa za Uchina.
Taiwani ni suala la muda tu mkuu, hasa kipindi hiki ambacho Uchina imekuwa na nguvu kubwa ya kiuchumi duniani na ya kijeshi kule Pasifiki kuliko kipindi chochote cha historia yake.
Hahahaha, daaah nimecheka sana!Umenikumbusha mwaka 2008 kabla ya kuanza kwa mashindano ya Olympics huko China ambayo yalitanguliwa na ghasia za kisiasa huko Tibet kudai uhuru kutoka China ambapo nchi za magharibi ziliyabebea bango yale maandamano mpaka wengine wakapendekeza waendeshe kampeni za kususia hiyo michuano lakini baadae ulivyoibuka mdororo wa kiuchumi mwaka 2008 kwa mabenki makubwa kufilisika na baadae Mama Clinton alipozuru China katikati ya 2009 alipendekeza kwanza changamoto za kiuchumi za dunia zitatuliwe kwanza ndipo hali ya Tibeti ijadiliwe baadae na mpaka leo hamna jipya tena.