But this is the same annexation as of Crimea. Then, why Russia is fighting sanctions while Israel is getting a red carpet reception?Syria says that is an attack to it's sovereignty. Hawana namna tena wasubiri Iran iwe na nguvu ya kijeshi na kiuchumi ndio watapapata.
Tumuulize Mr trump mkuuBut this is the same annexation as of Crimea. Then, why Russia is fighting sanctions while Israel is getting a red carpet reception?
Sent using Jamii Forums mobile app
But this is the same annexation as of Crimea. Then, why Russia is fighting sanctions while Israel is getting a red carpet reception?
Sent using Jamii Forums mobile app
Golan heights ni eneo la Syria lililotekwa na Israel wakati wa "vita ya siku sita" in 1967. Then in 1981, Israel wakadai officially kuwa ile ardhi ni ya kwao.Nakumbuka Idd amin alipojaribu kwa Kagera, naona fahari na kujivunia jinsi tulivyotetea ardhi yetu. Ila Serikali ya marekani ni Zionist puppet, ipo kiganjani mwa Israel, akifanya Israel ni sawa, ila akifanya Russia ni kosa, hippocrites! By the way, Golan heights ni territory ya nchi gani?
Nimewaza kama wewe na nadhani wachache sana wanaweza kukuelewa: Lakini kule Crimea na Golan Heights kuna utaofauti kidogo. Warusi walivamia Crimea na kuvunja sheria za kimataifa lakini baadae wakaitisha kura ya ambayo asilimia 80% ya wananchi wa Crimea walikuali kujiunga na shirikisho la Urusi. Upande wa pili Golan Heights ilichukuliwa kimabavu na hakuna kura yoyote iliyopigwa kuwauliza wakazi wa pale kama wanataka kujiunga na Israeli.But this is the same annexation as of Crimea. Then, why Russia is fighting sanctions while Israel is getting a red carpet reception?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani huyu Trump ana mahaba ya kupitiliza kwa Israel kuliko marais waliotangulia kabla yakeNimewaza kama wewe na nadhani wachache sana wanaweza kukuelewa: Lakini kule Crimea na Golan Heights kuna utaofauti kidogo. Warusi walivamia Crimea na kuvunja sheria za kimataifa lakini baadae wakaitisha kura ya ambayo asilimia 80% ya wananchi wa Crimea walikuali kujiunga na shirikisho la Urusi. Upande wa pili Golan Heights ilichukuliwa kimabavu na hakuna kura yoyote iliyopigwa kuwauliza wakazi wa pale kama wanataka kujiunga na Israeli.
NB: Ila yote yanafanyika hivi, huu ni mfano mbaya sana (A bad precedent) maana muda siyo mrefu mtasikia Uchina naye kavamia bahari ya Uchina Kusini (South China Sea) maana anasema asilimia 80% yote ilikuwa ni yake. Sasa sijui kama Marekani au Urusi wanaweza kumzuia kule Baraza la Ulinzi na Usalama la Umoja wa Mataifa.
Lazima awafurahishe waliompigia kura kwa wingi (White Evangelicals) kwa kutimiza kila ahadi yake.Nadhani huyu Trump ana mahaba ya kupitiliza kwa Israel kuliko marais waliotangulia kabla yake
Exactly! You got my point. But (just in case) China do that, will US, Israel and EU condem that action? By the way, I visited Crimea last year. And, i asked locals about their attitude about the annexation. You know what, majority said they are happy and would have voted same way again.Nimewaza kama wewe na nadhani wachache sana wanaweza kukuelewa: Lakini kule Crimea na Golan Heights kuna utaofauti kidogo. Warusi walivamia Crimea na kuvunja sheria za kimataifa lakini baadae wakaitisha kura ya ambayo asilimia 80% ya wananchi wa Crimea walikuali kujiunga na shirikisho la Urusi. Upande wa pili Golan Heights ilichukuliwa kimabavu na hakuna kura yoyote iliyopigwa kuwauliza wakazi wa pale kama wanataka kujiunga na Israeli.
NB: Ila yote yanafanyika hivi, huu ni mfano mbaya sana (A bad precedent) maana muda siyo mrefu mtasikia Uchina naye kavamia bahari ya Uchina Kusini (South China Sea) maana anasema asilimia 80% yote ilikuwa ni yake. Sasa sijui kama Marekani au Urusi wanaweza kumzuia kule Baraza la Ulinzi na Usalama la Umoja wa Mataifa.
Ni kweli ila huyu ameenda mbali kuliko kina Bush na Reagan ambao angalau waliweza kuzuia baadhi ya mipango ya Israel ili kuridhisha washirika wao huko arab world ila huyu hatambui hilo na wala hajali.Lazima awafurahishe waliompigia kura kwa wingi (White Evangelicals) kwa kutimiza kila ahadi yake.
Its easy for Crimea because the majority of people are ethnic Russians and they speak Russian language, unlike the Golan Height which is a home for only 27000 Syrians. But were does all this take us ? There's a British historian who once said in 2017 that the currents events unfolding in this era, are similar to the events which took place before the first world war. Military aggrandizement and territorial struggles were a main feature of the 19th and 20th Century politics. History is just repeating itself.Exactly! You got my point. But (just in case) China do that, will US, Israel and EU condem that action? By the way, I visited Crimea last year. And, i asked locals about their attitude about the annexation. You know what, majority said they are happy and would have voted same way again.
Sent using Jamii Forums mobile app
This signifies one thing: The International Liberal Order built after 1945 which is based on International norms and Rules is crumbling and the nations are reverting the old system of balance of power and strength. Sheria za kimataifa siku hizi haziheshimiki sana kwasababu wababe wamekuwa wengi sana na hakuna ambaye anaweza kumpiga mkwara mwenzake kama ilivyokuwa zamani. Kila taifa kubwa linajifanyia linavyotaka kwasababu lina ghala la nyuklia na jeshi kubwa.Ni kweli ila huyu ameenda mbali kuliko kina Bush na Reagan ambao angalau waliweza kuzuia baadhi ya mipango ya Israel ili kuridhisha washirika wao huko arab world ila huyu hatambui hilo na wala hajali.
Huyu Mzee (Trump) huko mbeleni atasababisha mahusiano yake na waarabu kuwa tete na kuchochea vurugu mpya kwenye ulimwengu wa kiislamu.This signifies one thing: The International Liberal Order built after 1945 which is based on International norms and Rules is crumbling and the nations are reverting the old system of balance of power and strength. Sheria za kimataifa siku hizi haziheshimiki sana kwasababu wababe wamekuwa wengi sana na hakuna ambaye anaweza kumpiga mkwara mwenzake kama ilivyokuwa zamani. Kila taifa kubwa linajifanyia linavyotaka kwasababu lina ghala la nyuklia na jeshi kubwa.
Unajua hapo Golan Heights mwaka 2015 wamegundua kwamba kuna mafuta mengi sana. Marekani akiona mafuta akili huwaga zinaruka na tayari keshapeleka kampuni kufanya tafiti.Huyu Mzee (Trump) huko mbeleni atasababisha mahusiano yake na waarabu kuwa tete na kuchochea vurugu mpya kwenye ulimwengu wa kiislamu.
... hebu tusubiri tuone reaction ya Mrusi kwenye hili saga; atakuwa pamoja na Syria/Iran au Israel?Syria says that is an attack to it's sovereignty. Hawana namna tena wasubiri Iran iwe na nguvu ya kijeshi na kiuchumi ndio watapapata.
Nao walizubaa mno,since 1967!!!?Syria says that is an attack to it's sovereignty. Hawana namna tena wasubiri Iran iwe na nguvu ya kijeshi na kiuchumi ndio watapapata.
How do you expect them to resist?But, why the rest of the world, including China, Germany, France and UK (although busy with BREXIT) are mouthing it without resistance?
Sent using Jamii Forums mobile app