Good Move... Nilikuwa nikiitizama Cuba on TV dah kama Kijiji na Magari yao ni ya kale sana Maana nikawa nakumbuka Garage ya Rupia Upanga ndio kulikuwa na magari kama Hayo... yaani ni Old Car haswa ila kwa Dunia hii kwao ndio itakuwa kama chanzo muhimu kwa sekta ya Utalii...
Ujeuri wa Castro umewadumaza watu wa Cuba mno maana karibu nchi nzima ni Washamba... nadhani hata simu bado wanatumia zile za miaka ile ya sitini simu za Mezani.. Bado Korea Kaskazini nao waamke waelewane na Dunia... Maisha Bila Internet Khah! Ubishi hauna maana...