Kweli aisee"Government shutdown" hiki kidhungu sijakielewa; shutdown? What does it mean?
[emoji23][emoji23] serikali ipo siriazi mkuu siyo huku kwetu vichwa vya train havijulikani vya nani"Government shutdown" hiki kidhungu sijakielewa; shutdown? What does it mean?
What a brief and clear elaboration! Asante sana Mkuu.[emoji23][emoji23] serikali ipo siriazi mkuu siyo huku kwetu vichwa vya train havijulikani vya nani
hii maana yake ni kwamba serikali itashindwa kupata pesa za kujiendesha kutokana na bunge kutokubaliana na serikali katika kupitisha baadhi ya sera znazoletwa na serikali
kitakachotokea ni kwamba kila kitu kitasimama miradi inayofadhiliwa na serikali plus uendeshaji wa serikali kwa maana ya budget sasa lakini nimesikia wamekubaliana kwa muda kuruhusu serikali iweze kuendelea.serikali haina dili sasa hapo watakapogoma kupitisha hizo pese nini kitatokea naomba kujua