siwashauli vijana kuenda kufanya kazi pale kwani muda wote kuna mitambo ambayo inaangalia mpaka sehemu za siri za watu , hakuna uhuru pia wanafuatilia mpaka maisha binafsi ya watu na mpaka watu unaowasiliana nao pia wanachunguzwa , kama ukitaka kuwa huru basi kwepa kufanya kazi ubalozi wa USA