SirAlfred006
JF-Expert Member
- Sep 21, 2020
- 551
- 1,304
Nifikie kwenye 0712787501 Whatsapp or call.Myeja namba moja nipo hapa
Hujambo kaka.Unataka malipo ama Ni Nini. Weka hapa public ama ndio ofisi yako
Hujambo kaka/dada.
Iwapo umekwama kufanya muamala wa kubadili na kutoa senti zako zilizopo kwenye PayPal ama Skrill, basi ujumbe huu ni wako.
Ingia inbox tusaidiane.
Edit weka physical address kama jina na namba ya mtaa na nyunba namba ngapNna changamoto kuverify account ya skrill kwenye address kila nikituma doc inakuwa rejected... kama unaweza kusaidia
Nionyeshe mfano bossEdit weka physical address kama jina na namba ya mtaa na nyunba namba ngap
Kwa mfano, kama address yako ni: Nafaka bin KundeNionyeshe mfano boss
Nshadata dollar zimegoma kutoka.
Niandikie mfano
Asante..haya maelezo yatanisaidia sana. Nmekupm kama utaweza kunisaidia kufanya editing ya bank statement mana nshaupload mpaka barua ya chuo wananiambia too old. RejectedKwa mfano, kama address yako ni: Nafaka bin Kunde
P.O. Box 4587,
Dar es salaam
Unachotakiwa kufanya, ingia hapa ili upate postcode ya eneo lako. Sasa assume unaishi Magomeni, Mtaa wa Suna ambao postcode yako ni 14101, na nyumba unayoishi ni #12, edit bank statement weka anuani ili iwe kama ifuatavyo:-
Nafaka bin Kunde
Magomeni Suna Street, #12
P.O. Box 4587
DSM1401
Dar es salaam.
Kwa upande mwingine, utakavyojaza address kwenye Skrill Form,
Address #1 weka hiyo Magomeni Suna Street, #12
Address #2 Andika Box #
Mkuu siko kwa PC na unaweza edit bankstatement za crdb zinazotumwa kwenye email na uhakikishe tarehe isionyeshe imezidi miezi sita. Niko mbali na PC nakula weekendThanx
Asante..haya maelezo yatanisaidia sana. Nmekupm kama utaweza kunisaidia kufanya editing ya bank statement mana nshaupload mpaka barua ya chuo wananiambia too old. Rejected
Ikikupendeza mkuu unaweza kunishaur pia software ya kueditia ingawa photos hop nilishatoaga muda kwenye matumiz yanguMkuu siko kwa PC na unaweza edit bankstatement za crdb zinazotumwa kwenye email na uhakikishe tarehe isionyeshe imezidi miezi sita. Niko mbali na PC nakula weekend
edit iwe hivyo nilipofuta kuna jina langu ndo maana nimelifta https://www.jamiiforums.com/attachments/picha-jpg.1497481/Ikikupendeza mkuu unaweza kunishaur pia software ya kueditia ingawa photos hop nilishatoaga muda kwenye matumiz yangu
edit iwe hivyo nilipofuta kuna jina langu ndo maana nimelifta https://www.jamiiforums.com/attachments/picha-jpg.1497481/
Mimi huwa natumia photoshop au illustrator
Pamoja mkuu hongeraView attachment 2498429
MKUU NASHUKURU SANA....JAMBO HILI LIMENITESA WIKI SASA...NIMEFANYA ULIVYONIAMBIA TUMIA ONLINE EDITING NIKAWALIPI USD 1..48.
JAMII FORUM KISIMA CHA MAARIFA.
MUNGU AKUBARIKI MKUU AZIDI KUKUPA MAARIFA UWAGAWIE WENGINE.
Kwa mfano, kama address yako ni: Nafaka bin Kunde
P.O. Box 4587,
Dar es salaam
Unachotakiwa kufanya, ingia hapa ili upate postcode ya eneo lako. Sasa assume unaishi Magomeni, Mtaa wa Suna ambao postcode yako ni 14101, na nyumba unayoishi ni #12, edit bank statement weka anuani ili iwe kama ifuatavyo:-
Nafaka bin Kunde
Magomeni Suna Street, #12
P.O. Box 4587
DSM1401
Dar es salaam.
Kwa upande mwingine, utakavyojaza address kwenye Skrill Form,
Address #1 weka hiyo Magomeni Suna Street, #12
Address #2 Andika Box #