Narumu yetu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 2,436
- 5,124
Unafikir Ukraine atakubal mkuuKeshamaliza kazi ya kupoka miji muhimu ya donbass na kherson imayokaliwa na watu was asili ya urusi....ambayo kwa vyovyote vile haitaridi tena ukraine
Umeelewa kauli yao???Majenerali wamemchoka Putin.
Asipokubali atafanya nnUnafikir Ukraine atakubal mkuu
Russians mara zote ndio alikua anaomba mazungumzo alikua hataki vita Hila jamaa NATO wakamdanganya akawa hataki mazungumzoAiseee mbona ghafla Sana miezi michache iliyopita Zelenksy ndo kila siku alikua anakesha akiomba mazungumzo na Putin Leo hii Russia ndo wanataka mazungumzo na Zelenksy halafu mwenyewe hataki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Walimdanganya vipi?! Russia alitoa demands ambazo hazitekelezeki ikiwemo NATO waondoe wanajeshi pamoja na vifaa vya kivita kwenye nchi za Baltic Lithuania,Estonia,Latvia. NATO ilishakubali kufanya mazungumzo na Russia ili kuzuia kutokea Kwa hii vita lakini Putin kujifanya kichwa ngumu akavamia akijua atakua kamaliza kazi ndani ya wiki tu na kupachika kibaraka wake Kiev matokeo yake mpaka sasa ni mwezi wa 7 wapo vitani na hakuna dalili ya Vita kwisha Leo au kesho.Russians mara zote ndio alikua anaomba mazungumzo alikua hataki vita Hila jamaa NATO wakamdanganya akawa hataki mazungumzo
Donbass haijatekwa yote. Donbass inaundwa na majimbo 2 ya Donetski na Luhansk. Mpaka Sasa Urusi imefanikiwa kuutwa Mkoa mmoja TU wa Luhansk. Donetski imeshindikana kuchukuliwa na Warusi. Na usitegemee kwamba wataweza kuuchukua kwasababu Urusi imehamisha zaidi ya Wanajeshi 30,000 kutoka Donbass kwenda Kherson Kupambana na Wanajeshi wa Ukraine wanaofanya Counter Offensive.Keshamaliza kazi ya kupoka miji muhimu ya donbass na kherson imayokaliwa na watu was asili ya urusi....ambayo kwa vyovyote vile haitaridi tena ukraine
Donesky ya wapi hiyo siku nyingi donesky IPO chini ya urusi.Donbass haijatekwa yote. Donbass inaundwa na majimbo 2 ya Donetski na Luhansk. Mpaka Sasa Urusi imefanikiwa kuutwa Mkoa mmoja TU wa Luhansk. Donetski imeshindikana kuchukuliwa na Warusi. Na usitegemee kwamba wataweza kuuchukua kwasababu Urusi imehamisha zaidi ya Wanajeshi 30,000 kutoka Donbass kwenda Kherson Kupambana na Wanajeshi wa Ukraine wanaofanya Counter Offensive.
duh wazee wa propaganda km vichaa vile , mkiambiwa,mnasema ni propagandaDonesky ya wapi hiyo siku nyingi donesky IPO chini ya urusi.
Ukraine alikuwa hataki mazungumzo yaani kukubali masharti ya urusi.na Macron alienda kufany nn Urusi ? mtakuja kuolew kwa kuweka ushabiki mbele
Siku tatu sasa inaenda kuwa mwaka...!!Wakati ameendelea kushika maeneo?wewe unasema amezidiwa?