Mtu yyt mwenye akili timamu lzm atajua kuwa Boko haram ni jeshi la makafiri.
We wapi umewahi kusikia Watu wanateka Shule nzima ya watoto 700 kisha wawapakie kwenye Mabasi zaidi ya 10!
Halafu wapotee na mabasi yote pamoja na wanafunzi 700 bila kuonekana kwa miezi mpk miaka.
Na wawe na uwezo wa kupata silaha kali mpk za kuangusha ndege bila kuwa na kitega uchumi au mradi wwt wa kuingiza pesa.
Anaeamini kuwa Bokoharam ni wajinga flani njaa walioko porini bila support ya makafiri huyo anahitaji msaada wa daktari wa akili haraka sana.
Wafaransa wameumia sana kufukuzwa na wanaanda hila kulipiza
Africa sellout president
#France_Afrique : @EmmanuelMacron
summons @AOuattara_PRCI Hassan Quattara of Ivory Coast
and @officialABAT Tinubu of Nigeria
to Paris
France is not giving up in the standoff between Niger, Mali and Burkina Faso.
This Thursday, January 25, the presses in Abidjan and Abuja announced the departure for the French capital of the Ivorian and Nigerian presidents for “private visits”. It is to make fun of African opinion when we know that, in the current context, these two heads of state of the most imposing countries of West Africa, unconditional allies of France, cannot stand together. go to Paris just to have a coffee.
The truth is that they were “summoned” for a course of action. France has already developed its plan to destabilize Niger and the AES. Tinubu has already given his agreement for the installation of a French military base in the northwest of the country. The Hausa - Fulani - Kanuri elites are fundamentally against it. As for Ouattara, reigning supreme in the Ivory Coast, he has carte blanche to welcome the mercenaries and the equipment which will be used to sow chaos in the Sahel. This is already done according to several commentators.
France's entire "revenge plan" will undoubtedly be on the menu of the secret discussions which will take place between Emmanuel Macron, Alassane Ouattara and Bola Tinubu.
God is in control and Africans are more vigilant than ever.
The Breath of Maradi