Uzoefu unaonyesha nchi nyingi za kiafrika hususan Tanzania watu wake wana uchu wa madaraka/ vyeo, wapo tayari kufanya lolote iwe kuhonga(kutoa rushw), kuroga (kutumia ushirikin), kujipendekeza kwa wakubwa au hata kuua ilimradi tu apate madaraka au cheo!!!
Mwalimu Alisha wahi kusema " uongozi ni mzigo mkubwa, kiongozi bora huwezi kumuona ana utafuta uongozi"
Leo hii watu wana lumbana, wana uwana, wana umizana kwa sababu ya madaraka au vyeo ni kwa nini haswa?!!
je watu wa namna hiyo huwa hawajui kuwa uongozi ni mzigo mzito??!!!
ninge kuwa kiongozi kamwe singe teua watu wenye kuusaka uongozi kwa njia nilizo zitaja hapo juu, kwani watu wa namna hiyo ni wakuogopwa kama ukimwi.