Hapana usidanganye kaka,questionnaire ni TZS 3000,sababu hawa wanafanya data entry tu.Pia na hiyo fare ni sawa ,kinachohitajika ni speed yako ya ku-key tu.tshs 2000 ni kidogo sana,kawaida huwa tshs 7000 -12000tzs per questionaire
Ni wewe mwenyewe tu na uwezo wako wa kutafsiri mambo! We unafikiri ikipewa kazi kampuni moja vijana ndiyo watakosa kazi?! Unarahisisha kazi tu na kuongeza efficiency kwa sababu hao watu wanakuwa chini ya usimamizi maalum wakati wewe ukiendelea na shughuli zingine. Ni kama kampuni ya simu iamue kutoajili watu wa customer care, iamue kuipa kampuni nyingine hiyo kazi na wao waajiri watu wao, inapunguza mzigo na kuongeza ufanisi tu. Ni mawazo tu mkuu, na wewe una haki na mawazo uliyonayo, lakini sidhani kama una haki ya kumwambia mtu mwingine jinsi ya kufanya kazi.Acha tamaa/udalali kanyagio endelea na utaratibu huo huo vijana wetu wengi wapate mshiko
Hutaki unaacha. Kiwango kidogo kwako kikubwa kwa mwenzio. Niwashukuru wore walioleta applications. Nimeweza pata pata watu na tayari wameanza kaziDuh, hata mtu anayefanya typing sationary ni Sh 1500 per page, ukifanya hata kutype buku kwa page, kwa page 23 ni Tsh 23,000! Hiyo buku 2000 ni ya kinyonyaji sana!
Rene I like your comments. Nitaku PM tujadili idea yako kwa kazi inayofuataNi wewe mwenyewe tu na uwezo wako wa kutafsiri mambo! We unafikiri ikipewa kazi kampuni moja vijana ndiyo watakosa kazi?! Unarahisisha kazi tu na kuongeza efficiency kwa sababu hao watu wanakuwa chini ya usimamizi maalum wakati wewe ukiendelea na shughuli zingine. Ni kama kampuni ya simu iamue kutoajili watu wa customer care, iamue kuipa kampuni nyingine hiyo kazi na wao waajiri watu wao, inapunguza mzigo na kuongeza ufanisi tu. Ni mawazo tu mkuu, na wewe una haki na mawazo uliyonayo, lakini sidhani kama una haki ya kumwambia mtu mwingine jinsi ya kufanya kazi.
Asante
Duh, hata mtu anayefanya typing sationary ni Sh 1500 per page, ukifanya hata kutype buku kwa page, kwa page 23 ni Tsh 23,000! Hiyo buku 2000 ni ya kinyonyaji sana!