Urgent help please!! Kuhusu Agrovert shop

Joined
Oct 9, 2014
Posts
70
Reaction score
48
Wasalaam wakuu!,
Kama kichwa cha habar kinavyojieleza. Mimi n mhitimu Wa Kada ya kilimo na mifugo, sasa nmeona fursa ya kufungua duka la zana za kilimo na mifugo kijijin kwetu. Tafadhari anayefahamu utaratibu wa kufungua duka hilo ninaomba anipe mwongozo kidgo.. Hapa nategemea kupata utaratibu wa kupitia kufungua ili nifungue kihalali...
 
[emoji121]
TAFUTA FREMU,

NUNUA VIFAA HUSIKA,
WEKA KWENYE FREMU,
ANZA KUUZA.

KAMA KUNA WATU WATAKUFUATA KUKWAMBIA KUHUSU VIGEZO VYOVYOTE NDIPO UTAKUWA MWANZO MZURI WA KUPATA TAARIFA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…