Uranium sio makaa ya mawe kwako mtawala

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
14,138
Reaction score
33,525
Hakuna kitu hatari kama uranium kuanzia kibailojia,kifizikia,kikemia na kivita.

Swala la kusema tuanze kuwa na vinu vya nyuklia ila turudi nyuma kama uwendeshaji utakuwa ni wa serikali basi ni kuleta maafa kama mlivyo fanya Mwendo kasi,bandari na n.k

Uranium itaki uccm wala wakina lucas mwashamba ukazani unadanganya au kuwatoa watu akili.

Uranium itaki watu wajinga na wenye kauli za mafufu na mwijaku ndio maana nchi zenye kuchimba madini haya uwezi kusikia zina kurupuka.
Uranium itaki wasanii ambao leo stive mangere anawapangia watumishi.

Kumbuka uranium ikikosa umakini kuna siku tutakua kama lile tukio la ukrain kinu kilicholipuka na kuhamisha watu wote waliopo eneo hilo walitoka wakaacha mpaka vijiko sababu ya mionzi.


On 26 April 1986, the No. 4 reactor of the Chernobyl Nuclear Power Plant


Na ninavyowajua kwa masifa mnaweza kukiweka Ubungo pale
 
Kwamba Tanzania inataka kuwa na vinu vya nyuklia? 😅😅
 
Nyie mazee bana..... Wakati ujenzi wa SGR unaanza mlimtukana Magufuli mkasema ataiendesha kwa makaa ya mawe.

Hakuna lisolowezekana kama tuna nia. Na hata tukijaribu tukashindwa shida ipo wapi?

Hao hao wanaotukataza walipoanza walikaribia kuunguza miji yao...Ila wanatukataza.

Binafsi nitaunga mkono kiongozi yeyote Afrika mwenye lengo la kutatua shida za mwafrika awe upinzani awe madarakani. Naunga mkono kauli ya Rais Samia.

Hofu yangu tu ni isiwe ameyasema kinywani. Awe amesema na amemaanisha.
 
Hizo nuclear reactor zikajengwe huko kizimkazi ili yakianza kulipuka wateketee wao kwanza
 
Mwashambwa haji Hapo!
 
Mimi ni Mfizikia mtaalamu wa Mionzi. Na ninaweza kutoa roadmap ya jinsi hili linavyoweza kuwa uhalisia. Naomba mawasiliano ya wakubwa wa TANESCO. Natanguliza shukrani!!!
 
Labda tusubiri kwanza hii ndezi ipite!
 
Tumpe moyo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…