Mzito Kabwela
Platinum Member
- Nov 28, 2009
- 18,908
- 7,752
- Thread starter
-
- #21
Hafai yule,kwanza sio mkweli,alituambia kwamba rais amebariki posho kwa wabunge wakati sio kweli,pili hajaolewa,tatu ametumika sana hivyo akili imeshachoka,maana yupo bungeni kwa zaidi ya miaka 36,.hana jipya..tunataka chama kipya,sera mpya,mikakati na utendaji mpya,,
1. Hana Kashfa, sio za kujilimbikizia Mali wala kashfa zingine za Maadili. Anajiheshimu
2. Yuko thabiti. Hayumbishwi, anasimamia anachoamini. Mfano mzuri ni jinsi anavyoliongoza Bunge
3. Ni mzoefu na mweledi wa mambo ya kiserikali, amekuwa Waziri, Mkuu wa Mkoa, Mbunge wa siku nyingi, ameongoza kamati mbalimbali za Bunge na sasa ni Spika
4. Ni mjuzi (mweledi)wa maswala ya uchumi wa ndani na wa kimataifa(uchumi wa dunia)
5. Msomi mzuri tu na mcha Mungu
6. Kiungo kizuri cha watanzania wa dini rangi na itikadi zote
Nawasilisha
Hapa issue ni record yake kiutendaji....
usais wa Tanzania.Kuna member amewahi kusema kuwa JK amefanya kila mtu yeyote aonekane anaweza urais. Na Makinda naye ni Mtu yeyote so she fits.
na zile YUTTONG za nani vile?its funny