Mzito Kabwela
Platinum Member
- Nov 28, 2009
- 18,908
- 7,752
haa haa haa... umeamua kumkejeli sio?1. Hana Kashfa, sio za kujilimbikizia Mali wala kashfa zingine za Maadili. Anajiheshimu
2. Yuko thabiti. Hayumbishwi, anasimamia anachoamini. Mfano mzuri ni jinsi anavyoliongoza Bunge
3. Ni mzoefu na mweledi wa mambo ya kiserikali, amekuwa Waziri, Mkuu wa Mkoa, Mbunge wa siku nyingi, ameongoza kamati mbalimbali za Bunge na sasa ni Spika
4. Ni mjuzi (mweledi)wa maswala ya uchumi wa ndani na wa kimataifa(uchumi wa dunia)
5. Msomi mzuri tu na mcha Mungu
6. Kiungo kizuri cha watanzania wa dini rangi na itikadi zote
Nawasilisha
naona umeamua kuchafua khali ya hewa.
Acha majungu wewena zile YUTTONG za nani vile?its funny
Hapa hajakejeliwa mtu mkuuhaa haa haa... umeamua kumkejeli sio?
1. Hana Kashfa, sio za kujilimbikizia Mali wala kashfa zingine za Maadili. Anajiheshimu
2. Yuko thabiti. Hayumbishwi, anasimamia anachoamini. Mfano mzuri ni jinsi anavyoliongoza Bunge
3. Ni mzoefu na mweledi wa mambo ya kiserikali, amekuwa Waziri, Mkuu wa Mkoa, Mbunge wa siku nyingi, ameongoza kamati mbalimbali za Bunge na sasa ni Spika
4. Ni mjuzi (mweledi)wa maswala ya uchumi wa ndani na wa kimataifa(uchumi wa dunia)
5. Msomi mzuri tu na mcha Mungu
6. Kiungo kizuri cha watanzania wa dini rangi na itikadi zote
Nawasilisha
Anafaa sana kuwa raisi wa waimba taarabu mana ana exprienc ya mipacho.
Hivi mkuu uko Siriaz au una joke..hana uwezo wowote, ni mwepesi mno hebu cheki anavyopwaya bungeni..anafaa kuwa afisa kilimo na ufugaji, angemudu vizuri
akiwa rais nahamia somalia