Kuna dem nampenda sana aliwah kuwa du wa rafk yang na had xaiv nachat nae ila bdo:hajajua mi ninan sasa hapo wadau naombeni ushaur nifanyeje na dem namzimia sio kitoto
Kuna dem nampenda sana aliwah kuwa du wa rafk yang na hadxaiv nachat nae ila bdo:hajajua mi ninan sasa hapo wadau naombeni ushaur nifanyeje na dem namzimia sio kitoto
Mkuu lugha za face book zinapunguza mvuto wa hoja yako. Maamuzi ni yako kusuka au kunyowa, lakini fikiria rafiki
yako, itakuwaje atakapofahamu.
Kuna (dem)msichana nampenda sana aliwahi kuwa (du) Mpenzi wa (rafk) Rafiki yangu na hadi (xaiv) sasahivi 'nachati' nae ila bado hajajua mimi ninani, sasa hapo wadau naombeni ushauri nifanyeje na (dem) msichana nampenda sana. namzimia sio kitoto
Kuna dem nampenda sana aliwah kuwa du wa rafk yang na had xaiv nachat nae ila bdo:hajajua mi ninan sasa hapo wadau naombeni ushaur nifanyeje na dem namzimia sio kitoto
Achana nae, we alikuwa wa rafiki yako, sasa wa nini huyo inaonyesha ww mwoga unataka vi2 rahisi rahisi,unaweza mwambia ukaingia aibu ya mwaka akikataa na kukutangaza.
Kuna dem nampenda sana aliwah kuwa du wa rafk yang na had xaiv nachat nae ila bdo:hajajua mi ninan sasa hapo wadau naombeni ushaur nifanyeje na dem namzimia sio kitoto
Ufanyaje? Si utafute wa kwako! Mbona misitu ya kuwapata ni mingi, si uingie msituni ujitafutie wa kwako mwenyewe? We mpaka usubiri mwenzio atafute na wewe ndo uje kuiba, umekuwa fisi? Endelea na ngoja rafikiyo akufume ndo utajua nini kilimtoa manyoya kanga!