Upotoshaji kuhusu visa vya visasi, kutekwa na kuteswa; na matukio mengine dhidi ya wananchi na vyombo vya habari

Tangu JPM aingie kazini wapinzani wake wamekuwa wakimkosoa kuhusu staili yake ya kiuongozi huku wakilalamika kwa baadhi ya matukio.mimi naona sio sawa kwa hoja zifuatazo

1.JPM hajawahi kutumia matumizi ya nguvu za kijeshi kupambana na wananchi.sote tuna fahamu maraisi wore waliopita kikwete,mkapa nk..paliwahi kutokea matumizi makubwa hasa polisi kupambana mpaka kuua raia,lakini kwa Magufuli sijasikia kuripotiwa hakuna harufu ya Vita Wala wasiwasi wa kupigana haupo..Huyu ndiye Rais mjanja

2.JPM hateki watu.tusemeni ukweli hivi matukio yote ya kutekwa kwanini yahusihwe na siasa wakati sote tunajua Kuna sababu nyingi za mtu kutekwa.awamu nyingine Kama ya JK pia palikuwa na matukio mfano kiongozi wa madaktari pale kweli ungeweza kusema kuwa kitengo ndani kwa ndani serikali wanaweza kuhusika kisiasa kwa sababu daktari ulimboka hawezi kuwa yupo katika makundi ambayo usalama wao hatarini Kama wafanyabiashara wakubwa au wanasiasa wenye maadui chungu nzima.ndo maana kwangu Mimi mawazo yangu nikuwa .matukio ya kina MO,au tundu lissu.serikali isihusihwe msipotoshe watu hao wana maadui wengi tu wa humu ndani tofauti na wapinzani mnavyotaka kutuaminisha kuwa Magufuli anahusika moja kwa moja

3.JPM anaingiaje kwenye kesi za visa na visasi vya watu?sote tunajua katika deal nyingi Kuna uadui ambao unaweza kusababisha mtu kuuliwa au kuwindwa au kutekwa

4.JPM hajabania Uhuru wa habari.kwa hili suala wananchi wamelishwa matango pori.uhuru gani ambao mnausemea mbona taarifa zote za msingi tunazipata habari zilizo kamili.kuhusu bunge kutoonyeshwa live nakuomba Magufuli awamu ijayo ruhusu bunge liwe live maana nauhakika wabunge waropokaji,watukanaji hawatapita kwenye uchaguzi ujao maana hakuna Tena rushwa wataingia watu wenye uwezo safi.CCM ya bashiru inaliweza Hilo.

Sasa nimalizie kwa kusema mengi kuhusu Magufuli yanapotoshwa/yanapotoshwa.hata yesu mwenyewe alileta ujumbe wake ulimwengu lakini wengi wakaishia kupindisha maneno yake lakini tunaambiwa yesu ni Kama shoka ambalo limetua kwenye gogo.waasi wote kilichobaki ni kupotea
Kwa hiyo hata Magufuli Nia yake inafahamika wazi kwa hiyo wauza madawa ya kulevya,wapiga madeal,mafisadi,wazembe ,wavivu,waropokaji,waongo n.k...wote lazima wagongwe na shoka ndo maana kelele nyingi zinasikika. amewazunguka kila upande.live long sultani magufuli.happybirthday my president
Haya tumekusikia nenda upewe kipande cha keki yake ya kuzaliwa ule.
 
Ni mawazo yako. Je, unaweza kufahamu mawazo yaliyomo vichwani mwa wa Watanzania wote? Je, unajua yule unayeongea na kuafikiana naye katika mambo mnayoongea anawaza au anakuwazia nini? Kumbuka usiusemee moyo wa mtu.
 
Back
Top Bottom