Huu ni mwaka wa 23 sasa toka Tanzania iingie katika mfumo wa vyama vingi lakini wilayani Ngara imeonekana mfumo huu ulichelewa kuingia. Lakini kiukweli mambo yalivyo uchaguzi ujao Chadema wanabeba
Komaeni nao magamba, hawana cha kujitetea kwa sasa. Itisheni m4c toka kanda ili mmalize kazi mapema. Fanyeni utafiti kujua aina ya wapiga kura wa hapo Ngara, jitahidini kuwa handle vijana kwani ndiyo mawakala na walinzi wa kura