Hahaaaaa et kwa bando la chuoTatizo Pesa za uendeshaji, usikute website ya chama anaendesha mtu kwa bando la chuo tu.
Barafu la moto
hahahaahaTatizo Pesa za uendeshaji, usikute website ya chama anaendesha mtu kwa bando la chuo tu.
Barafu la moto
na hii ndo maaana yake mnachotakiwa kukifanya kwa sasa ni kuunga mkono juhudi za mzee wetuYaani ndio tusifanye chochote kuwaogopa TCRA?
wakiwa na app ccm ndio watakaojaa humo wakijiita wapinzaniHello JF,
.ili upinzani kushinda ni lazima waonyeshe wananchi kwa nini wao{Upinzani} ni bora Zaidi ya serikali iliyopo...
Kwa vile mikutano ya kisiasa imekatazwa mpaka wakati wa uchaguzi…..
Hii imeweka mazingira magumu kwa wao kuonyesha mipango yao…...
kuwafikia wananchi wote ambao wangekuwa informed kutokana na hio mikutano hio ya siasa,...
na hivyo ku make decision kuchagua upinzani,hii ni ngumu kwenye climate iliyopo sasa hivi...
Sasa basi mie nimeona tufanye mikutano ya kisiasa 'kidigitally' ...
Nimeona statistics zinaonyesha half of Tanzanian population now have access to internet na trend is going upward,
Who knows baada ya miaka mitano sita iliyobaki ya Magufuli, watu wenye internet watakua 75% au 80% ya watu wote wa Tanzania...
Don't you think this is one area that should be invested on???
Upinzani{especially Lissu coz he is influential),wangekua na 'App' yao inayo update sera zao daily,na pia kusikiliza watu wa kawaida wanasema nini,na vipi matatizo yao...
Kusikiliza watu wanasema nini,wapi serikali ya sasa imeshindwa kutekeleza expectations zao,hii itakua kama Muongozo wa nini wakipigie mkazo kwenye uchaguzi ujao……………….
Nimeona pia website ya Chadema imepooooza...lol,
Mngeweka viwango vya JF ingechangamka na kuwa chanzo cha mabadiliko...
ikiwezekana mu ajiri watu professional kwa ajili ya kuendeleza website yenu..
Muwe na jumatano njema,
Becky.
Hello JF,

Mbona sasa hivi hawafanyi chochote kumwogopa SIRRO.Yaani ndio tusifanye chochote kuwaogopa TCRA?
Haitasaidia.
Unajua CCM inaanza kuvuna vijana wakiwa O Level?
Mtu anafika chuo anakua kala yamini ya Chama.
Upinzani (Tena ni CHADEMA tu) wao huanza kutafuta vijana chuoni.
App itakuepo ila wapiga kura wanakua wamefikiwa tangu wapo watoto and let's face it CCM ina hela kwa ngazi ya mashina (sijajua kitaifa) kuliko wapinzani wote hivyo inalegeza nyoyo za vijana kibao.
Nafikiri upinzani wajifunze kwa wenzao namna ya kumfikia potential voter.
"Nimeona statistics zinaonyesha half of Tanzanian population now have access to internet na trend is going upward,"Hello JF,