wakimataifa.
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 1,625
- 559
Unaweza kushinda tuzo ya uzuzu wewe.kwa kazi ya JPM ya hapa kazi tu imewachanganya wapinzani wa kisiasa na wafuasi wake wakikesha eti kujaribu kuipapua serikali ya JPM.
ukifatilia maelezo yao na madai yao unawaona kama vinyago wa mpapure
Ww hutofautiani kabsaa na hicho kinyago. Asavali kinyago ni Kinyago kuliko kinyago wewekwa kazi ya JPM ya hapa kazi tu imewachanganya wapinzani wa kisiasa na wafuasi wake wakikesha eti kujaribu kuipapua serikali ya JPM.
ukifatilia maelezo yao na madai yao unawaona kama vinyago wa mpapure
Sio kila mtu atapokea jambo fulani unavyotaka wewe.uzuzu upi sasa kiongozi mkubwa analalamika kwa askofu utumbuaji majipu ni uonevu kweli
tuzo ya uzuzu wa kinyago wa mpapure tunawakabidhi nyinyi wapinzani mnaolalamika mpaka kwa askofu eti utumbuaji majipu ni wa uonevuUnaweza kushinda tuzo ya uzuzu wewe.
sio lazima na wewe uanzishe uzi humu changie nyuzi za wenzio zinazoandikwa kitaalamu na kwa mapana pia zenye mashiko.
Wewe upige deal zako halafu ukihusishe chama, kila mtu atabeba mzigo wakekwa kazi ya JPM ya hapa kazi tu imewachanganya wapinzani wa kisiasa na wafuasi wake wakikesha eti kujaribu kuipapua serikali ya JPM.
ukifatilia maelezo yao na madai yao unawaona kama vinyago wa mpapure