Upendo haufichiki

Hayo yanafanyika huko mbele kwa bongo mdada anaweza ruka na akakuuliza mm sifanyi mchezo huo
 
Kibongobongo hata kama ni mchumba ako ukimshika hivyo hadharani utakula kofi hilo hutaamini
 
Kila mmoja ana tafsiri yake ya upendo.

Huku kwetu mwanamke husipomtandika makonde kila siku huwa anahisi hapendwi.
Kama upo aisee.

Kuna mwalimu wa shule ya msingi headmistress kaolewa na jamaa jobless, basi mwanamke kamzingua nini sijui jamaa, kilichofuata jamaa alimchapa makonde mwanamke utasema Floyd MyWeather yupo ulingoni na Manu Pacquiao


Baada ya kipondo heavy demu kakimbilia polisi,
 
Ha ha ha ha inawezekana hisia zetu sisi weusi ni tofauti na za wenzetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…