mapie Member Joined Mar 21, 2014 Posts 95 Reaction score 43 Apr 29, 2014 #1 Jamani wana JF kuna mtu mwenye updates zozote za zle nafas za Railway children, deadline yake ilikuwa trh.25 mwez huu atujuze
Jamani wana JF kuna mtu mwenye updates zozote za zle nafas za Railway children, deadline yake ilikuwa trh.25 mwez huu atujuze
J.lee JF-Expert Member Joined Mar 20, 2012 Posts 1,672 Reaction score 834 May 7, 2014 #2 Yani hata mwenye nliomba naona kimya asee!ila tuvumilie tu,
U Undisputed Member Joined Nov 8, 2013 Posts 40 Reaction score 11 May 7, 2014 #3 hawa jamaa walinipigia tarehe 1 May na nikafanya initial phone interview wakasema jumamosi watanitumia sms kama nitachaguliwa ili kupewa ratiba ya interview ya Mwanza But hawakuynitumia hiyo sms which means sikubahatika.
hawa jamaa walinipigia tarehe 1 May na nikafanya initial phone interview wakasema jumamosi watanitumia sms kama nitachaguliwa ili kupewa ratiba ya interview ya Mwanza But hawakuynitumia hiyo sms which means sikubahatika.
M merie Member Joined Mar 17, 2014 Posts 28 Reaction score 1 May 7, 2014 #4 Dooh jamani mi nlikuwa nasubilia najua bado hawajaanza ita watu. Looo
mapie Member Joined Mar 21, 2014 Posts 95 Reaction score 43 May 8, 2014 Thread starter #5 pole, halafu merie tulikuwa safari moja ktk utapeli wa mwanza community bank eenhe.
M merie Member Joined Mar 17, 2014 Posts 28 Reaction score 1 May 8, 2014 #6 mapie said: pole, halafu merie tulikuwa safari moja ktk utapeli wa mwanza community bank eenhe. Click to expand... Hahaha ni kweli ndugu. Yaaan kazi hizi we acha tu. Ila tutapata tu
mapie said: pole, halafu merie tulikuwa safari moja ktk utapeli wa mwanza community bank eenhe. Click to expand... Hahaha ni kweli ndugu. Yaaan kazi hizi we acha tu. Ila tutapata tu
U Undisputed Member Joined Nov 8, 2013 Posts 40 Reaction score 11 May 8, 2014 #7 Tusife moyo tutapata tu wadau na tutakuwa ushuhuda kwa wengine, hakuna mtihani mgumu kama UVUMILIVU
chief bazoka Member Joined Jan 31, 2014 Posts 97 Reaction score 22 May 8, 2014 #8 merie said: Hahaha ni kweli ndugu. Yaaan kazi hizi we acha tu. Ila tutapata tu Click to expand... Kweli kaka hii hali mtaani ni ngumu sana
merie said: Hahaha ni kweli ndugu. Yaaan kazi hizi we acha tu. Ila tutapata tu Click to expand... Kweli kaka hii hali mtaani ni ngumu sana
R rolla JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 2,274 Reaction score 1,214 May 8, 2014 #9 unasema deadline tarehe 25 mwezi huu . mbona bado hiyo tarehe au...?
Babuu Murasa JF-Expert Member Joined Jan 1, 2013 Posts 229 Reaction score 120 May 8, 2014 #10 bado hawajaita wandugu