Updates za-Naenda kufumania

Baada ya kula kichapo hajafanana na avatar ya Zero IQ kweli?
 
Nyie vipi?..kumsubiri kote kule na kulala nje mlangoni na mchana sikula. Afu laki nne zipo kwenye wallet niziache?..nna mavi mimi kwani?.sijui pesa sio?..acheni bana ngololo zenu kama hamna cha kuchangia. Mnfyuuuuuusss
Umenichekesha aisee pole mwaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…