Hivyo ndivyo inavyotakiwa ushindani muhimu sana unachangamsha industry sasa BMW lazima ajifunze kuwa watu wapo serious na kazi japo kwa performance anaweza kuwa kawapiga gap ila muonekano akajipange tenaIla madza kwenye design ni balaa Sana nimeona hiyo Toyota nao ni bonge moja chuma yamaana Sana.
BMW safari hii kachemka kinoma na hiyo gari yake ya i4 min cooper.
Juzi nilikuwa nasoma mtandao wa Quora digest watumiaji wa Tesla wanalalamika Sana magari Yana shida nyingi hii inapelekea china kuteka soko la Ev's duniani maana jamaa Wanatengeneza vyuma vya maana na bei zao ni kitonga
angalia SUVs za kampuni ya kichina ya HAVAL haya magari yanagombewa Huko Australia kama pipi , nahisi ndani ya miaka hii miwili yataingia bongo nahisi hapa itakuwa mwisho wa magari ya kijapan kama ilivyo mabus ya Scania dhidi ya YUTONG
Huyu hapa Ikuo Maeda ndio General Manager wa Mazda Design team.Ila madza kwenye design ni balaa Sana nimeona hiyo Toyota nao ni bonge moja chuma yamaana Sana.
BMW safari hii kachemka kinoma na hiyo gari yake ya i4 min cooper.
Juzi nilikuwa nasoma mtandao wa Quora digest watumiaji wa Tesla wanalalamika Sana magari Yana shida nyingi hii inapelekea china kuteka soko la Ev's duniani maana jamaa Wanatengeneza vyuma vya maana na bei zao ni kitonga
angalia SUVs za kampuni ya kichina ya HAVAL haya magari yanagombewa Huko Australia kama pipi , nahisi ndani ya miaka hii miwili yataingia bongo nahisi hapa itakuwa mwisho wa magari ya kijapan kama ilivyo mabus ya Scania dhidi ya YUTONG
Yeah kwa Toyota umenena, kaingia vizuri sana.Ila madza kwenye design ni balaa Sana nimeona hiyo Toyota nao ni bonge moja chuma yamaana Sana.
BMW safari hii kachemka kinoma na hiyo gari yake ya i4 min cooper.
Juzi nilikuwa nasoma mtandao wa Quora digest watumiaji wa Tesla wanalalamika Sana magari Yana shida nyingi hii inapelekea china kuteka soko la Ev's duniani maana jamaa Wanatengeneza vyuma vya maana na bei zao ni kitonga
angalia SUVs za kampuni ya kichina ya HAVAL haya magari yanagombewa Huko Australia kama pipi , nahisi ndani ya miaka hii miwili yataingia bongo nahisi hapa itakuwa mwisho wa magari ya kijapan kama ilivyo mabus ya Scania dhidi ya YUTONG
Huyu jamaa anatisha sanaaHuyu hapa Ikuo Maeda ndio General Manager wa Mazda Design team.
View attachment 2974773
Apewe maua yake kwa kuleta Kodo design (Soul of Motion).
Angekua smart angejiunga na kampuni moja wapo la China. Ingemsaidia.Hivyo ndivyo inavyotakiwa ushindani muhimu sana unachangamsha industry sasa BMW lazima ajifunze kuwa watu wapo serious na kazi japo kwa performance anaweza kuwa kawapiga gap ila muonekano akajipange tena
Acha, unakutana na matuta ova shamba la viazi. Bado barabara mbovu kuna sehemu haupeleki.Ni nzuri sana. Mapinduzi yanaendelea katika utengenezaji wa magari serikali ya ccm ione aibu itutengenezee Barabara nzuri za kupitisha hizo ndinga maana bandarini wapo more active kuchukua kodi.
Naumia sana gari ikiwa chini kwa Barabara za bongo ni full stress..
Chuma hichi hapa.Volkswagen Tayron
Volkswagen wametuletea SUV yenye 2.0L Turbo engine kwenye menu. Ila kuna uwezekano baadhi ya nchi wakapata 1.5L plug-in hybrid na 2.0L diesel engine.
View attachment 2974767
Kwa ndani ina share muonekano na Volkswagen Tiguan mpya.
View attachment 2974768View attachment 2974769
Chuma ni kali, kwenye presentation yao wamejisifia sana 360 degrees camera, wireless phone charging, Heads up Display, Dual zone climate na ADAS (ambavyo ni vitu vya kawaida kwa magari ya sasa).
Game changer anajua sana..Huyu hapa Ikuo Maeda ndio General Manager wa Mazda Design team.
View attachment 2974773
Apewe maua yake kwa kuleta Kodo design (Soul of Motion).
Marekani ni mafala Sana yaani hawa wajinga wanataka kilakitu wanachofanya dunia ipokee kama kilivyo bila challenge angalia mfano wa simu zao za Apple hazina lolote la maana Ila wanataka dunia tununue huku wakiuza bei ya juu .Yeah kwa Toyota umenena, kaingia vizuri sana.
Tesla anakumbwa na matatizo mengi sana kwa sasa. Especially build quality.
Hii issue ya Monopoly inamtesa sana, yaani imefika kipindi serikali ya US inataka izuie EV za China zisiende kwenye soko lao.