Samahanini wakuu kuna watu wanasema TBS hawatoi majina ya usaili mpaka uchaguzi mkuu upite...Hivi kuna ukweli kuhusu hili?? Na kama kuna ukweli naomba tusipige kura
Samahanini wakuu kuna watu wanasema TBS hawatoi majina ya usaili mpaka uchaguzi mkuu upite...Hivi kuna ukweli kuhusu hili?? na kama kuna ukweli naomba tusipige kura
Nadhani ingekua vizuri kama ungeweka kua huyo mdogo wako ameitwa kwa njia ipi, simu, email au tangazo na chanzo ni nini na lini wanaenda kwenye usaili ndiyo utakua umetusaidia sisi wengine.
du jaman kaz kwel kwel kwann wasiwe waz kama kwel wametoa? asanten kwa taarfa mawazo yangu watatumia cm kumbe n web yao 2 da pamoto hapo, kuwasaidia na wengne n bora mtu apatapo matokeo hayo atoe taarfa jf

Karibu ndg, Majina ya walioitwa kwa ajili ya Usaili wa BOT yanapatikana kwenye mtandao. Tembelea mtandao wetu wa jfasta.com (www.Jfasta.com ) utayapata majina yote sasa.
Karibu ndg, Majina ya walioitwa kwa ajili ya Usaili wa BOT yanapatikana kwenye mtandao. Tembelea mtandao wetu wa jfasta.com (www.Jfasta.com ) utayapata majina yote sasa.