Mwaka wa fedha huu kabla haujaisha lazima vijana mtwaitwa
Mjiandae na training ya miez mitatu morogorom
Mshara after deductions zote kwa graduate investigator ni 1.4m
Katika hiyo kuna hardship allowance',investigation allowances,risky allowances,house allowances keep on praying
Ongea na watu upate viatuu,usigeuke chanuo kazi zake ni mbili tuuh i.e kuchana nyweleee na kusuka nywelee..