Updates Juu ya taarifa ya IGP

mwikumwiku

Senior Member
Joined
Jul 15, 2011
Posts
153
Reaction score
35
Asubuhi tulitarifiwa kwamba Mzee Wa intelijensia atamwaga upupu juu ya namna jeshi lilivyoshughulikia madai ya Dr Mwakyembe. Wana JF mliopo Dar tupeni updates.
 
Mpaka sasa binafsi sijasikia chochote labda bado wanajipanga
 
Asubuhi tulitarifiwa kwamba Mzee Wa intelijensia atamwaga upupu juu ya namna jeshi lilivyoshughulikia madai ya Dr Mwakyembe. Wana JF mliopo Dar tupeni updates.

bado anakusanya habari za kiintelijensia iwapo atatoa ukweli what will be the reaction
 
Hahahahahhahaha ---- Siajabu akaja na stori za kunywa maziwa freshi yenye chumvi badala ya sukari.
 
Hana habari yoyote ni usanii mtupu,tangu alipopata madai ya Dr.Mwakyembe mpaka anaumwa ndio leo anakurupuka na kujifanya mbele zetu kuwa anafanya kazi
 
Hivi kuna mtu ana updates juu ya Dr. Mwakyembe mwenyewe maana isije ikawa wanazuga kuto taarifa kumbe wameshamaliza mchezo, CCM na vyombo vyao ni noma kwa kuua.
 
sina imani nae yule full upendeleo kwa ndugu zake polisi makao makuu, kawapa vitengo watu wa kwao tuu
 
Tanzania haijawahi kumpata IGP wa ovyo kama huyu shemeji ya Jk saidi Mwema. Ni mbabaishaji, mwenye kujipendekeza, amejaa ukabila, udini, rushwa na kila namna ya uchafu. Kwa hakika kuwepo kwake katika nafasi hiyo, kama ilivyo kwa aliyemteua ni janga kwa Taifa. Historia itamhukumu.
 
ni police gan ambaye amewai kusema ukweli? baada ya ukweli nini hatima yake? nilazima alinde U-gali
 

The opposite is true

Tanzania haijawahi kuwa IGP makini na professiona kama Said mwema.

Mdini ni wewe hapo jitazame upya ..

Huwezi kumlinganisha na Omar Mahita (enzi za Ben mkapa)
 
Tunataka taarifa za uhakika. Tunataka hali ya Mwakyembe. Kumjadili mtu tunatoka nje ya mada.
 
Kutaka kutoa taarifa za Mwakyembe ni tactic ya kutaka attention ya watuwengi itoke kwenye maandamano ya jumamosi!! It is a diversionary tactic if the press conference by Said Mwema will be held!!
 
Mwema si mwema,amesababisha a-town watu wakauawa eti ana habari za inteligensia maandamano yataleta uvunjifu wa amani,shame on him§
 
mtasikia anasema..."... kwa sasa bado ...uchunguzi unaendelea...blah..kama kuna mtu anaushahidi zaidi ashirikiane nasi..blah.."
 
Kwenye ukweli lazima 2seme,hakuna IGP kama Mwema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…