Updates Akiba Commercial Bank

ng'wibo chuma

Member
Joined
Apr 3, 2014
Posts
24
Reaction score
4
Salamu wana JF.

Jamani naomba tujuzane kwa wale tuliofanya aptitude test 24th march. Vipi ndugu zangu kuna aliyeitwa oral interview.

Please tuambiane ili tujue kama wengine ndo imetoka.
 
Salamu wana JF.

Jamani naomba tujuzane kwa wale tuliofanya aptitude test 24th march. Vipi ndugu zangu kuna aliyeitwa oral interview.

Please tuambiane ili tujue kama wengine ndo imetoka.
Tayar, oral imeanza leo na kesho.
 
Mimi nimefanya interview leo nilipigiwa simu juzi, lakini wanaendelea kupiga simu kuna rafiki yangu ye kapigiwa simu leo saa kumi na moja jioni na kaambiwa aende interview jumatano. Ko endelea kusubiri nahisi wanaita kwa awamu.
 
Hello JF, tuliofanikiwa kufanya oral interview AKIBA COMMERCIAL BANK siku ya tarehe 2/4/2014. Je, kuna aliyefanikiwa kupigiwa simu ya kufanikiwa kuitwa kazini?
 
mimi nilifanya oral taehe 04/04/2014 ila bado cjapata habar yoyote.kama kuna mwenye updates tujulishane
 
kwa wale tuliofanya oral interview akiba commercial bank vip wameshaanza kuita watu kazini kwa sababu mimi nilifanya wiki ya tatu sasa chenga kama kuna mwenye taarifa tujuzane
 
Mimi pia nilifanya siku ya kwanza, kwa kila ninaewasiliana nae tulofanya nao wanadai bado,tuzidi kusubiri mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…