Ada upangwaji kivipi?
wao wanapanga ada kwa kuangalia gharama zao mfano kulipa walimu, walinzi umeme, faida, elimu unayopata na vitu vingine.
na kupiga penati kwa kawaida tu maana hapa mtaanza kuingiza hali ngumu, liko sahihi maana wao asilimia kubwa chuo kinajiendesha chenyewe kama kunakuwa na ruzuku kutoka kwa external stakeholders wake, unapochelewa kulipa unakwamisha mipango yao