GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,646
- 109,034
Mods futa huu upuuzi
😂😂😂😂
Umeua mkuu
Wewe nae kwa mikwara tuu..
Ni mpuuzi Fulani hivi mwenye mawazo ya kiboya.Genta buana
Ungejileftisha kwanza wewe... Tukufute kabisaMods futa huu upuuzi
wewe mikia FC.Haingii Akilini Timu yetu kuna Wachezaji kama Dante na wengine wengi tu wanadai Pesa zao lakini Uongozi wetu wa Juu unafikia Kutenga Tsh Milioni 10 za Kuwahonga Waamuzi ( Referees ) ili ' watubebe ' tushinde Mechi zetu kwa Magoli yetu ya ' Kindondocha ' halafu tunajisifu na tunataka Kujifananisha na wanaojua Mpira Simba SC ambao ni Wapinzani wetu?
Wanachana wenzangu wa Yanga SC tusikubali hili na hapa lazima Uongozi Kesho tu utuombe Radhi vingine Mimi nitawaongoza wana Yanga SC wenzangu Kuhamia rasmi Simba SC ambako naona ni kama vile ' Kumenoga ' kwa sasa. Hii ni Aibu Kubwa kwetu wana Yanga SC kwani ' Watani ' zenu Simba SC wala hawahongi Waamuzi na Ushindi wao huwa ni wa Kimchezo zaidi hadi hata Sisi wana Yanga SC wengine huwa tunavutiwa nao.
TFF na TAKUKURU ingilieni Kati leo kuna Tsh Milioni 10 ambazo Watanzania ( hasa Sisi wana Yanga SC ) akina An Eagle tunaambiwa kuwa wamepewa Wachezaji wakati ukweli ni kwamba Pesa zote zimeenda kwa Waamuzi na Washika Vibendera na kuna Mmoja Kesho anaenda Kununua Gari huku mwingine anaenda Kupaua Nyumba yake huko Buza na Mwingine anaenda Kulipa Vibarua wake wa Shamba lake huko Mbwinde.
Na bahati nzuri mno An Eagle ni Rafiki wa Wachezaji wote Waandamizi wa Yanga SC yetu na mpaka sasa hivi ( yaani Usiku huu wa Saa 5 hii inakimbilia Saa 6 ) hakuna Mchezaji yoyote aliyepewa ' Mgao ' wa hizo Pesa na kuna Mmoja kamuambia An Eagle kuwa hizo Pesa zilitolewa tu leo hadharani kama ' Danganya Toto ' tu ili Kutuliza ' Fukuto ' kubwa lililopo Klabuni hasa baada ya Sisi Wanachama kutoutaka tena Uongozi huu wa Yanga SC na hasa hasa Kocha wetu asiyejua Kuvaa Mwinyi Zahera.
Msiponielewa An Eagle katika hili Kesho Jumatatu Saa 5 tu za Asubuhi natangaza rasmi Kuhamia Simba Sports Club.
mods kwa nini mpumbavu kama huyu hamumpi ban? hili ndondocha halistahili kuwepo jf
Wewe ni mwanayanga uliyeamua kusema ukweli bila kupepesa.
Yanga hi si ilee! Yaani yanga hii hii ni aibu. Kuna umuhimu wa kutumia VAR kwenye mechi zake kama ingeruhusiwa.
Kuna taratibu zinafuatwa na wanalipwa taratibu pesa inapoingiaHaingii Akilini Timu yetu kuna Wachezaji kama Dante na wengine wengi tu wanadai Pesa zao lakini Uongozi wetu wa Juu unafikia Kutenga Tsh Milioni 10 za Kuwahonga Waamuzi ( Referees ) ili ' watubebe ' tushinde Mechi zetu kwa Magoli yetu ya ' Kindondocha ' halafu tunajisifu na tunataka Kujifananisha na wanaojua Mpira Simba SC ambao ni Wapinzani wetu?
Wanachana wenzangu wa Yanga SC tusikubali hili na hapa lazima Uongozi Kesho tu utuombe Radhi vingine Mimi nitawaongoza wana Yanga SC wenzangu Kuhamia rasmi Simba SC ambako naona ni kama vile ' Kumenoga ' kwa sasa. Hii ni Aibu Kubwa kwetu wana Yanga SC kwani ' Watani ' zenu Simba SC wala hawahongi Waamuzi na Ushindi wao huwa ni wa Kimchezo zaidi hadi hata Sisi wana Yanga SC wengine huwa tunavutiwa nao.
TFF na TAKUKURU ingilieni Kati leo kuna Tsh Milioni 10 ambazo Watanzania ( hasa Sisi wana Yanga SC ) akina An Eagle tunaambiwa kuwa wamepewa Wachezaji wakati ukweli ni kwamba Pesa zote zimeenda kwa Waamuzi na Washika Vibendera na kuna Mmoja Kesho anaenda Kununua Gari huku mwingine anaenda Kupaua Nyumba yake huko Buza na Mwingine anaenda Kulipa Vibarua wake wa Shamba lake huko Mbwinde.
Na bahati nzuri mno An Eagle ni Rafiki wa Wachezaji wote Waandamizi wa Yanga SC yetu na mpaka sasa hivi ( yaani Usiku huu wa Saa 5 hii inakimbilia Saa 6 ) hakuna Mchezaji yoyote aliyepewa ' Mgao ' wa hizo Pesa na kuna Mmoja kamuambia An Eagle kuwa hizo Pesa zilitolewa tu leo hadharani kama ' Danganya Toto ' tu ili Kutuliza ' Fukuto ' kubwa lililopo Klabuni hasa baada ya Sisi Wanachama kutoutaka tena Uongozi huu wa Yanga SC na hasa hasa Kocha wetu asiyejua Kuvaa Mwinyi Zahera.
Msiponielewa An Eagle katika hili Kesho Jumatatu Saa 5 tu za Asubuhi natangaza rasmi Kuhamia Simba Sports Club.
Hujalazimishwa kuwa shabiki wa Yanga jinga wewe,baki huko huko kwenye umbumbumbuHaingii Akilini Timu yetu kuna Wachezaji kama Dante na wengine wengi tu wanadai Pesa zao lakini Uongozi wetu wa Juu unafikia Kutenga Tsh Milioni 10 za Kuwahonga Waamuzi ( Referees ) ili ' watubebe ' tushinde Mechi zetu kwa Magoli yetu ya ' Kindondocha ' halafu tunajisifu na tunataka Kujifananisha na wanaojua Mpira Simba SC ambao ni Wapinzani wetu?
Wanachana wenzangu wa Yanga SC tusikubali hili na hapa lazima Uongozi Kesho tu utuombe Radhi vingine Mimi nitawaongoza wana Yanga SC wenzangu Kuhamia rasmi Simba SC ambako naona ni kama vile ' Kumenoga ' kwa sasa. Hii ni Aibu Kubwa kwetu wana Yanga SC kwani ' Watani ' zenu Simba SC wala hawahongi Waamuzi na Ushindi wao huwa ni wa Kimchezo zaidi hadi hata Sisi wana Yanga SC wengine huwa tunavutiwa nao.
TFF na TAKUKURU ingilieni Kati leo kuna Tsh Milioni 10 ambazo Watanzania ( hasa Sisi wana Yanga SC ) akina An Eagle tunaambiwa kuwa wamepewa Wachezaji wakati ukweli ni kwamba Pesa zote zimeenda kwa Waamuzi na Washika Vibendera na kuna Mmoja Kesho anaenda Kununua Gari huku mwingine anaenda Kupaua Nyumba yake huko Buza na Mwingine anaenda Kulipa Vibarua wake wa Shamba lake huko Mbwinde.
Na bahati nzuri mno An Eagle ni Rafiki wa Wachezaji wote Waandamizi wa Yanga SC yetu na mpaka sasa hivi ( yaani Usiku huu wa Saa 5 hii inakimbilia Saa 6 ) hakuna Mchezaji yoyote aliyepewa ' Mgao ' wa hizo Pesa na kuna Mmoja kamuambia An Eagle kuwa hizo Pesa zilitolewa tu leo hadharani kama ' Danganya Toto ' tu ili Kutuliza ' Fukuto ' kubwa lililopo Klabuni hasa baada ya Sisi Wanachama kutoutaka tena Uongozi huu wa Yanga SC na hasa hasa Kocha wetu asiyejua Kuvaa Mwinyi Zahera.
Msiponielewa An Eagle katika hili Kesho Jumatatu Saa 5 tu za Asubuhi natangaza rasmi Kuhamia Simba Sports Club.
We siyo Yanga ila unatafuta umaarufu kupitia YangaBAN kwa kuiongelea Yanga SC yangu au? Naipigania Yanga SC yangu na nadhani nina Uhuru wa kutoa Mawazo yangu na kama Wewe ' unateseka ' na ' Threads ' zangu za Kuihusu Yanga SC yangu sijakulazimisha uwe unazifungua. Na huwa nawashangaa mno mnajifanya ' mnanichukia ' lakini ndiyo nyie nyie mkiingia tu hapa JamiiForums ni lazima tu mtanifuatilia ama nimechangia nini au nimeanzisha Uzi gani hapa. Sasa ni nani ana matatizo kati yangu na yako / yenu? Na bahati nzuri ' Moderators ' ni Watu makini kuliko Mpuuzi Mwandamizi Wewe na Wenzako baadhi mnaoteseka nami Kutwa.