Ndiyo si tunaona nchi ina njaa kila kona mpaka watu wanapika mawe,mpaka misaada ya chakula inaletwa,ameshindwa kucontrol korona,madeni yamekuwa mengi,nchi haiwezi kujijengea miundombinu yake mpaka ikope na SGR imeishia porini.na pia ardhi kubwa ameimilikisha kwa watu wachache na nchi imejaa rushwa.Magufuli ameirudisha nyuma Tanzania...
Tazama...
Here's a breakdown of the comparative GDP figures
2009.............(Tanzania $29B) (Kenya $37B)
2010.............(Tanzania $32B) (Kenya $40B)
2011.............(Tanzania $34B) (Kenya $41B)
2012.............(Tanzania $39B) (Kenya $50B)
2013.............(Tanzania $45B) (Kenya $55B)
2014.............(Tanzania $49B) (Kenya $61B)
Hadi hapo mchezo ni ule wa nipe nikupe. Kenya na Tz ana kwa ana.
But then MAGUFULI HAPPENED. AND THE GAME CHANGED.
2015.............(Tanzania $47B) (Kenya $64B)
2016.............(Tanzania $49B) (Kenya $69B)
2017.............(Tanzania $53B) (Kenya $78B)
2018.............(Tanzania $58B) (Kenya $87B)
2019.............(Tanzania $62B) (Kenya $99B)
🤣..Akirudi unitag!Ndiyo si tunaona nchi ina njaa kila kona mpaka watu wanapika mawe,mpaka misaada ya chakula inaletwa,ameshindwa kucontrol korona,madeni yamekuwa mengi,nchi haiwezi kujijengea miundombinu yake mpaka ikope na SGR imeishia porini.na pia ardhi kubwa ameimilikisha kwa watu wachache na nchi imejaa rushwa.
But Tanzania is true middle income country kwa sababu watu hawafi na njaa,umasikini unazidi kupungua,nchi yenye matajiri wengi afrika mashariki,miradi mingi mikubwa na mengine inatekelezwa kwa fedha za ndani,huduma za jamii bora kuliko nchi yoyote afrika mashariki mfano maji,huduma za afya bora,hospital bora zinajengwa kila sehemu,miundo mbinu zinajengwa kila sehemu kwa viwango vya juu mfano stendi.Per capita tooo
Jamaa tangu aingie ameongeza only $80 juzi unajisifu ameipeleka TZ middle income country
Na 2020 ..
Tanzania :61 bil
Kenya :109bill
Gap : 48bil (gdp ya DRC congo )
Ghana wamewapita last year . 5 more years of magufuli and DRC congo watawapita View attachment 1522087
Sent from my SM-N975F using JamiiForums mobile app
Jameni Watanzania wanakwama wapi, mbona tunawapiga kihivi, dah hadi inatia huruma.
Tanzania 🇹🇿 inawaumizeni Sana ehhh kutwa nzima kuisakama. Hebu kawasakameni Al Shabab Kama nyie vidume kweliJameni Watanzania wanakwama wapi, mbona tunawapiga kihivi, dah hadi inatia huruma.
Alafu watasema sisi ni vibaraka vya mabeberu ilhali wamebarikiwa na madini vyote na sisi hatuna.Kenya siku zote itakua juuuuJameni Watanzania wanakwama wapi, mbona tunawapiga kihivi, dah hadi inatia huruma.
Magufuli ameirudisha nyuma Tanzania...
Tazama...
Here's a breakdown of the comparative GDP figures
2009.............(Tanzania $29B) (Kenya $37B)
2010.............(Tanzania $32B) (Kenya $40B)
2011.............(Tanzania $34B) (Kenya $41B)
2012.............(Tanzania $39B) (Kenya $50B)
2013.............(Tanzania $45B) (Kenya $55B)
2014.............(Tanzania $49B) (Kenya $61B)
Hadi hapo mchezo ni ule wa nipe nikupe. Kenya na Tz ana kwa ana.
But then MAGUFULI HAPPENED. AND THE GAME CHANGED.
2015.............(Tanzania $47B) (Kenya $64B)
2016.............(Tanzania $49B) (Kenya $69B)
2017.............(Tanzania $53B) (Kenya $78B)
2018.............(Tanzania $58B) (Kenya $87B)
2019.............(Tanzania $62B) (Kenya $99B)
Vipi kuhusu mfumuko wa bei huko KenyaJameni Watanzania wanakwama wapi, mbona tunawapiga kihivi, dah hadi inatia huruma.
Miaka minne tu tutaipiku Morocco.Na 2020 ..