hahahahaaaaa... Daaah mama aliumbuka kweli kweli... Kuna jamaa yangu mmoja pia alikua anatokea demu.. Akajitambulisha kwa demu kua anaitwa Brown... Akaniambia mzee usisahau ukinikuta na uyu demu uniite brown... Sasa mimi nikawakuta sku moja nikasahau bwana... Nikamuita mshkaji kwa jina lake... Funny nae akasahau kua alijitambulisha brown kwa demu.. Akaitika.. Hahahahaha... aritoine...