Wapo wametoa condition ya electronic mail pekee, hakuna physical address waliyoweka, nami pia nina mashaka na hii, na baada ya kuwa nimeelekezwa physical add ya taasisi moja ya masuala ya afya huko mikocheni nilienda na kuuliza hilo swali hapo juu, wakasema huwa wanazisoma sema zinakuwa nyingi sana