Tunaweza bishana sana ila kiukweli haya mambo ya kununua views yapo sana na inawawia vigumu sana youtube kuzi detect, hata wakina rihanna, justin bieber walishtukiwa na views nyingi zisizo halali, kwa hiyo tukubali tukatae haya mambo yapo hata wewe leo hii unaweza kununua views kadri unavyotaka ni ela yako tu, mimi mpenzi wa nyimbo nzuri na sio shabiki wa ma-team kama utahisi hivyo, nakubali nyimbo za mond na za kiba pia, kwa hiyo sipo kuponda au kushabikia upande wowote, tunafahamishana tu.umejiuliza au umeona kituo chochote cha tv kinacheza huo wimbo wa kokoro lakini bado uko juu tu? kwa tanzania
Diamond ana fan base kubwa africa nzimaSample size, kwa EA diamond ana fan base kubwa TZ na Kenya.
Jibu tosha kabisa naona wanahaha sanaDiamond ana fan base kubwa africa nzima
sawa mkuu ila kumbuka hakuna anayethibisha hayo madaiTunaweza bishana sana ila kiukweli haya mambo ya kununua views yapo sana na inawawia vigumu sana youtube kuzi detect, hata wakina rihanna, justin bieber walishtukiwa na views nyingi zisizo halali, kwa hiyo tukubali tukatae haya mambo yapo hata wewe leo hii unaweza kununua views kadri unavyotaka ni ela yako tu, mimi mpenzi wa nyimbo nzuri na sio shabiki wa ma-team kama utahisi hivyo, nakubali nyimbo za mond na za kiba pia, kwa hiyo sipo kuponda au kushabikia upande wowote, tunafahamishana tu.
Unaweza ukawa sahihi, ila hujaelewa nilichoandika, bila shaka umechagua Africa ukilinganisha na mabara mengine kama Europe na America si ndivyo, na mimi katika africa nikachagua Tanzania na kenya kati ya nchi nyingine zote zilizobaki.Diamond ana fan base kubwa africa nzima
Ila kuna ukweli hapa, jana nilitizama video ya Darasa na ndio ilikuwa No 1 trending lakin cha kushangaza ya mavoko sio trending lakin views zinakimbia kama pump za vituo vya mafuta.
Mchukue huyo willy paul ambae ndio namba moja mlete tulinganishe trending yake huku bongo mkuu
Ngoja tufanye kautafiti ujanja ujanja hatutaki ingawa mimi sio hater wa Diamond nakubali masongi yake.
Trending list kenya
Popular Right Now - Kenya - YouTube
Darasa yupo namba 30
FA dume suruali namba 31
kokoro radio tour namba 40
kokoro official video haipo kwenye trending videos list ambazo zipo 200
Tatzo wanatamani kuwa kama diamond ila hawana uwezo huo.. Wanapambana sana atleast wafike robo ya alipo diamond... Kama wana uwezo wapambane kwa matendo na sio maneno kila siku.Mkuu tangu waanze kulalamika diamond ananunua viewers wanataka kutuaminisha Youtube hawajasikia haya malalamiko na kumfungia au kuondoa hao viewers feki kwenye a/c yake?
Hawa ni wajinga wachache ambao wanaamini diomond kazi zake hazifai
Walizusha hivi hivi jamaa ananunua tuzo, wao wameanza kushinda tuzo hawapigi tena kelele
Kwani wapi kasainiwa... Muwe mnasoma detailsJamani DIAMOND si alisema hawez kusainiwa au yalikuwa mawivu?
Eboooooo sasa ulikuwa unadhani MOMBASA ni TANGA!?Maana kweli ata Mombasa cyo tanzania
MwanaFA hakuwa anapata show zozote za nje ila Tanzania nzima tunajua kuwa MwanaFA ni mkali kuliko AY.Akili zingine bhana huyu mtu ananunua viewers na mziki wake wa ujanja ujanja hivi inakuwaje anapata shows nyingi hivi nje ya nchi?
Malawi
Mayotte
Zimbabwe
Zambia
Nigeria
Botwana
Uk tour na Neyo
Hivi mziki wake unafikaje huko?
Hawa wengine ambao hawanunui viewers mbona hawapati shows nje , wakijitaidi sana Mombasa?
Mwenye uelewa anifahamishe?
Mnahangaika kw kweli mpk huruma jmnView attachment 440252
On trending
Mkuu acha kujitia aibu Nani alikwambia kuwa Risabela ni wimbo wa Ali kiba?!huyo alikiba unaemshadadia kimasomaso hakuiga? imetoka juzijuzi risabela hata hamtaki kuizungumzia?