Kwani akikaidi utanfanya nini? Halafu mwana Haram ni nani Kati ya hamass na Israel? Yani hujui kuwa Usa imejitoa Ili iwe rahisi kumtandika huyo mjinga Hamass.we subiri kidogo utaona .Nani alijua kama David mchunga kondoo angmpiga yule kitu Goriath babu yake na Hamass?Itakuwa ni habari mbaya mno kwa m-sayuni na ndugu yake. Walipo watakuwa wanatweta kwa hasira.
View attachment 2944569
Kwamba imekuwa kura 14 dhidi ya 1 ya beberu mmoja aliyeona aufyate? Kwa hakika inatosha sana.
Vita vinatakiwa kukoma na mateka wote wa pande mbili kuachiwa. Ikumbukwe mateka ni wote washikiliwao tokea Oct. 7. Humo m-sayuni anao 7,000+.
Kazi kweli kweli.
Ngoja tumwone hiyo aliye mwana kharam, kichwa ngumu au kibaka wa kukaidi "a UNSC resolution."
Kwani akikaidi utanfanya nini? Halafu mwana Haram ni nani Kati ya hamass na Israel? Yani hujui kuwa Usa imejitoa Ili iwe rahisi kumtandika huyo mjinga Hamass.we subiri kidogo utaona .Nani alijua kama David mchunga kondoo angmpiga yule kitu Goriath babu yake na Hamass?
Maazimio kama yako hivi mbona sawa tu maana yake Hamas Aachie mateka na Israel Aachie wafungwa aliowakamata tangia October. Mbona hicho ndo kilikuwa kinatafutwa na Israel? Lakini kama ceasefire bila mateka kuachiwa walahi vita haitasimama. Israel hawezi kukubali huo mchezo ambao umeshindwa kufanya kazi kwa Ukraine na Rusia
Mwanaharam ni aliyeanza vita hii na sio vinginevyo!
Jana nilikuwa namsikiliza Ahmed Rajab BBC anasema maazimio kama haya yamekuwepo Toka mwaka 1960 lakini Israel Huwa hayawashughulishi, kwahiyo kichapo Kiko pale pale kituo kinachofuata ni Rafah.
BiBi finish those bastards.
Tatizo la kuisoma Israel kwenye mitandao. Maazimio kama hayo hayajaanza leo. Na yahudi hufanya daima aonayo ni mema machoni pake.
Nahisi hata hicho kilichoandikwa hapo hujakielewa.
Nahisi hata hicho kilichoandikwa hapo hujakielewa.
Mnakuaga na us€nge wa ajabu sana nyie ngurue,palestine imepigwa ikapigika kwa ujinga wa hamas,wapalestina wamejikusanya huko rafah kama kuni mbichi zinazosubiriwa zikauke zitiwe jikoni, mu israel hana haramu yule,kwa hapo alipofikia hajali chochote,sasa badala ya kwenda naye kwa akili nyie warabu koko mnamwendea kinyumenyume huku mmeshusha chupi,atawafr kweli.Endelea kuota ndoto za mchana.
Mwana kharam ni mkiuka maazimio ya dunia.
Kulikoni alipo makalio yana mlia mbwata?!
Hamas hawana mateka wowote wanaowashikilia kwa sasa,waliwaua wote on the spot, na hilo litawa cost,huku likimpa jeuri zaidi netanyahuMaazimio kama yako hivi mbona sawa tu maana yake Hamas Aachie mateka na Israel Aachie wafungwa aliowakamata tangia October. Mbona hicho ndo kilikuwa kinatafutwa na Israel? Lakini kama ceasefire bila mateka kuachiwa walahi vita haitasimama. Israel hawezi kukubali huo mchezo ambao umeshindwa kufanya kazi kwa Ukraine na Rusia
Mnakuaga na us€nge wa ajabu sana nyie ngurue,palestine imepigwa ikapigika kwa ujinga wa hamas,wapalestina wamejikusanya huko rafah kama kuni mbichi zinazosubiriwa zikauke zitiwe jikoni, mu israel hana haramu yule,kwa hapo alipofikia hajali chochote,sasa badala ya kwenda naye kwa akili nyie warabu koko mnamwendea kinyumenyume huku mmeshusha chupi,atawafr kweli.
Hamas hawana mateka wowote wanaowashikilia kwa sasa,waliwaua wote on the spot, na hilo litawa cost,huku likimpa jeuri zaidi netanyahu
Kuna watu hawajawajua wayahudi vizuri wasubiri ndani ya sasa mpaka 3034 watawaelewa hawa ni watu wa namna gani na kwa nini wapo duniani maana kuna watu wanafikiri uwepo wao na historia yao ni kitu cha kawaida tu.Tatizo la kuisoma Israel kwenye mitandao. Maazimio kama hayo hayajaanza leo. Na yahudi hufanya daima aonayo ni mema machoni pake.