Trump and Russia: The only 4 things you need to know - CNNPolitics.com
(CNN)Donald Trump's Russia problem is getting worse -- and more complicated.
Questions about his campaign's alleged ties to Moscow seem to proliferate by the hour. The mushroom cloud surrounding his baseless allegations that President Barack Obama wiretapped Trump Tower is spreading faster. The investigations have become difficult to keep track of -- and those are just the ones we know about.
But the revelation on Thursday that fired former Trump national security adviser Michael Flynn, who also served as a top campaign aide, was offering his testimony to Congress in exchange for legal immunity signaled a potential turning point.
Unakumbuka mkuu tulishajiuliza humu JF kwenye Thread yako kwamba huyu Rais wa Marekani anashambulia "Establishment ya Marekani" Je ataruhusiwa aendelee kutawala au kuiongoza Marekani?. Worse still akagombana na "Fourth Estate". Na kuna kila dalili kwamba wameamua "kumshughulikia"! Nchi za wenzetu kuna taasisi ña sera ambavyo "haviguswi" na huwezi kuvivuruga vururuga tu hata kama wewe ni Rais wa Nchi. Hiyo ndiyo "system" inabidi ufanye nayo kazi na ndiyo mshauri wako wa kila siku katika mambo yote ya yanayohusu mustakabali wa nchi. Lt. Gen. Michael Flynn alikuwa Mkuu wa Defense Intelligence Agency ya US na "alifukuzwa" kazi na Obama. Ingawa sababu zake hazikuelezwa kinagaubaga lakini inaonekana kuwa alikuwa already "compromised" na Russia na Obama being very smart aliona he is a security risk kwa US. Kwa Rais Trump kumchagua Flynn kuwa NSA lazima "system" ingereact that way. It was just a matter of time.Trump and Russia: The only 4 things you need to know - CNNPolitics.com
(CNN)Donald Trump's Russia problem is getting worse -- and more complicated.
Questions about his campaign's alleged ties to Moscow seem to proliferate by the hour. The mushroom cloud surrounding his baseless allegations that President Barack Obama wiretapped Trump Tower is spreading faster. The investigations have become difficult to keep track of -- and those are just the ones we know about.
But the revelation on Thursday that fired former Trump national security adviser Michael Flynn, who also served as a top campaign aide, was offering his testimony to Congress in exchange for legal immunity signaled a potential turning point.
I think Trump anaongozwa na mihemuka ya kutaka tu kupinga kila alilolifanya Obama. Hilo linampelekea kufumbia macho kasoro kubwa kubwa zinatokea. Matatizo ya Flynn yalijulikana kabla Trump hajaingia ikulu. Akaonywa kwamba hilo ni bomu, naye akafikiri hivyo kwamba ni watu tu wa establishment wanamfanyia visa. Ukweli ukajulikana baadae.Unakumbuka mkuu tulishajiuliza humu JF kwenye Thread yako kwamba huyu Rais wa Marekani anashambulia "Establishment ya Marekani" Je ataruhusiwa aendelee kutawala au kuiongoza Marekani?. Worse still akagombana na "Fourth Estate". Na kuna kila dalili kwamba wameamua "kumshughulikia"! Nchi za wenzetu kuna taasisi ña sera ambavyo "haviguswi" na huwezi kuvivuruga vururuga tu hata kama wewe ni Rais wa Nchi. Hiyo ndiyo "system" inabidi ufanye nayo kazi na ndiyo mshauri wako wa kila siku katika mambo yote ya yanayohusu mustakabali wa nchi. Lt. Gen. Michael Flynn alikuwa Mkuu wa Defense Intelligence Agency ya US na "alifukuzwa" kazi na Obama. Ingawa sababu zake hazikuelezwa kinagaubaga lakini inaonekana kuwa alikuwa already "compromised" na Russia na Obama being very smart aliona he is a security risk kwa US. Kwa Rais Trump kumchagua Flynn kuwa NSA lazima "system" ingereact that way. It was just a matter of time.
Trump anakopi na kupest kutoka HAPA.I think Trump anaongozwa na mihemuka ya kutaka tu kupinga kila alilolifanya Obama. Hilo linampelekea kufumbia macho kasoro kubwa kubwa zinatokea. Matatizo ya Flynn yalijulikana kabla Trump hajaingia ikulu. Akaonywa kwamba hilo ni bomu, naye akafikiri hivyo kwamba ni watu tu wa establishment wanamfanyia visa. Ukweli ukajulikana baadae.