Unlock smart phone!, Tecno

hukujarib volume key nyngne zinachanganyaga sana??
Kimsingi nilifanikiwa ku-reset to factory setting ila nilivyowasha ile password haikuondoka (niliweka ile ya anti-theft na bahati mbaya nikawa nimeisahau, nadhani kama ingekuwa password hizi zingine ingeondoka, baadae nilijisalimisha kwa mafundi
 
wakuu ni hivi hizo app zipo playstore nina huawei y530 ya tigo nataka kui unlock please nisaidieni

nicheki kwa 0784234391 hiyo simu yako naweza ku unlock kwa sh 12,500 popote ulipo nakutumia unlock code.
 

Wanatengeneza kila kitu bure?
 
Wanatengeneza kila kitu bure?

Nadhani kila kitu kama simu ipo ndani ya warrant (imeharibika ndani ya kipindi cha mwaka mmoja) au uharibifu wa kawaida ambao haujasababishwa na mtumiaji kama vile kuidodosha au kumwagikiwa maji na vitu vinavyofana na hivyo, pia isiw imefunguliwa na fundi yoyote (hasa kwenye hardware part) software kidogo wanaweza wakakusikiliza
 

Kama huna risiti je?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…